jungle boy
Senior Member
- Aug 6, 2015
- 107
- 27
Habari za kwenu wana jamii wenzangu.
Jamani nipo serious sana katika hili naomba kwa wew mdada uchukulie uzito unaposa uzi huu mizaha/utani weka pembeni.
Naomba niutumie uwanja huu kutafuta kipenzi cha moyo wangu kwani naamini yupo humu(msichana) nitakayempenda naye kunipenda na tuka-make TRUE LOVE..Moyo wangu umekuwa mpweke kwa mda mref kidogo lakini naona ni wakati unaofaa sasa nimpate nitakayeendana naye.
Nahitaji mpenz/ma wife to be ambaye Mungu akitujalia tuje kuwa one flesh(mwili mmoja) siku za usoni
Sifa zangu;-
Kijana mrefu ft 5, umri 28yrs si mweus wala mweupe sana niko wastani, ni mwembamba kiasi(slim body) najinoa kwenye masuala ya computer repair lakini pia nina miradi yangu binafsi, sinaga makuu,kijana mtulivu msikivu mwenye kujali mengine tutaelezana PM.
Sifa za yule nayemhitaji;
Awe mkristo mwenye umri kuanzia 20-24 asiwe na mtoto,asiwe mlevi,awe single,awe na mtazamo chanya katika maisha,mvumilivu,asiwe mkorofi, elimu yake form 4 na kuendelea na hata kama yupo college/university siyo tatizo kwangu,ajitambue na atambue thamani ya mapenzi asiwe kiruka njia..atoke katika familia yoyote(ya kitajiri/kimaskini)poa tu zaidi sana ajue kulea penzi na awe na upendo wa kweli kwangu
Angalau akiwa nahizo sifa ntampokea na kumpenda kwa dhati sina tabia ya ulaghai so lets be serious katika hili.
Ukiwa tayari juu ya hilo usihangaike sana nidondoshee tu namba yako kwenye PM then mi ntakupigia au ukipenda tutachat.
Au unaweza kunicheki kwenye Email yangu( usichokekujaribu@gmail.com)
Natanguliza shukrani.