Chukulia kila kazi iliyopo ulimwenguni mshahara/malipo yake yangekua Tsh 2,000,000 kwa mwaka, ambapo masaa ya kufanya kazi yangekua sawa kwa wiki na muda wa likizo ungekua sawa,
Ni kazi gan ungeifanya na kwa nini!!!!
Kwa hesabu za kawaida kabisa,mtu akichukua pesa hyo akagawanya kwa miezi 12 kwa maana ya mwaka mzima huyu mtu anakuwa analipwa Tsh.166,666.66667 elfu kwa mwezi. Ni kazi gani hilo sitaki kuliwaza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.