lengo langu si kumfanya mtu akatae dini yake la hasha!!nimetafakar sana ulivyosema apo juu , ukichunguza sana ivi vitu utakataa dini
Wanasema Yesu ni Mungu kwa hiyo yeye ndio aliumba uhai.
HahahhaNani wanasema?
ukitaka usichanganyikie soma mwenyewe biblia kuhusu uumbaji kisha soma kuhusu habari ya yesu kisha malizia na habari za mungu utajua ukweli na wala hujapotoshwanimetafakar sana ulivyosema apo juu , ukichunguza sana ivi vitu utakataa dini
ha ha... nani kasema yupo ama hayupo..?jesus anaish ...yupo tena yupo jifanyen kulindisha vichwa mtajua kama yupo pale the lucifer atakapokuwa yuko nawe anakubilingisha kwenye moto
.
why inakula kwako..?mara nyingi huwa nafanya utafiti lakni ukifanya utafut wa kisayans kwa mungu ujue imekula kwako yaani, ndo maana mara nyng huwa sipen kuweka maswala ya kiimani katika tafiti za kidunia, ndo maana historical bckgrnd ya dunia zinatofautian katika vitabu vya iman na vitabu vya kisayns
Hili swala la kutokea from nothing huwa nashindwa kulilewa mkuu unaweza kutuwekea observations zozote ambazo zinathibitisha kwamba we have come from nothingYesu ni binadamu kama sisi, Maisha yaani life,yalikuwepo na hayaonekani kwa macho .Yeye kama sisi tulitoka from nothing entity into being as blood and flesh .To be God depend on how you struggle yourself to be God by arising Your spiritual power to control the universe from nothing entity.
naogopesha hahaaaa bora uogope kuliko kupuuzaha ha... nani kasema yupo ama hayupo..?
mbona unaenenda kwa uoga,kama unazani kichwa ni cha kufugia nywele your wrong.hapa si kuogopeshana ni majadiliano.