Kwa msaada wa watu wa Marekani

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,998
1,156
Nimekuwa nikisia kauli kwenye matangazo mengi sana... ujumbe huu unakujia kwa msaada wa watu wa Marekani, ikimaanisha kuwa tangazo husika limetengezwa na kuwezeshwa kurushwa hewani wka msaada wa fedha zilizotolewa na Marekani.
Nachukia sana ninaposikia hivyo kwa sababu siamini kama kutengeneza na kurusha matangazo kama hayo ni jambo ambalo taasisi husika haiwezi kuligharamia bila msaada. TUnaomba misaada mpaka kwenye vitu vidogovodogo na matokeo yake tunawapatia hawa watu nafasi ya kutudhalilisha kuwa hata kutoa matangazo nako tunahitaji misaada. Kwa kweli sipendi kabisa
 

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,194
4,776
mkuu pale hawasaidii kutoa Tangazo. msaada wowote ambao umetolewa na watu wa marekani unapoutangaza katika media lazima u acknowledge ndo masharti wanayotupatia pindi wanapotupa misaada
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom