1979Magufuli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 438
- 1,752
Mshambuliaji hatari wa Yanga S.C ambaye pia ni mfungaji bora wa kombe la Losers na lile la NBC premier league, mkongoman Fiston Mayele inasemekana huenda msimu ujao akaenda kupata changamoto katika nchi nyingine kufuatia uwezo mkubwa wa kufumania nyavu aliouonyesha.
Kwa kweli hata sisi mashabiki na wanachama na viongozi wa Simba tunakiri pasipo shaka ingawa hatuwezi kusema wazi wazi kuwa Mayele ni jini.
Sitaki kuandika mengi, kwa sababu wabongo hawana utamaduni wa kupenda kusoma ndio maana wajinga ni wengi, kila kitu wao kazi yao ni kutukana na kubisha, hata mtu anapotoa maoni yake kwa mujibu wa katiba, bado anaambulia matusi.
Ila namshauri Mayele abaki hapa hapa bongo ili kulinda heshima na kipaji chake.Kwann nasema hivi?
1. Umri wa Mayele umekwenda sana na hakuna klabu inayoweza kusajili mchezaji wa umri wake kwa kuvunja kibubu.
2.Mpira wa bongo ni tofauti kabisa kabisa na huko anakotaka kwenda, hapa bongo mchezaji anakuwa bora sana kwa sababu anaongezewa na mambo mengine nje ya uwanja, mfano dua na ndumba.Ndio maana wachezaji wa kigeni hapa bongo wakitoka kidogo kwenda kusaka malisho pengine wanashindwa na wanaambulia benchi.
3. Bongo wachezaji wa kigeni wanathaminiwa sana, wakienda mikoani huko mashabiki wanalilia selfie, nje ya bongo hiyo huipati.
4.Bongo mpira unapendwa sana, ukiondoa waarabu hv ss Bongo inaongoza kwa kujaza watu michuano ya CAF.
5.Thamani anayopewa Mayele hapa bongo huko aendako haipo.
6.Amuulize Makambo, Chama na Micquisone, hao walitamba sana bongo kwa sababu walibustiwa na mambo ya nje ya uwanja, ss hv tuko nao na Makambo anataka kwenda Tabora United.
7.Mayele amecheza kila mechi ndio maana yuko fiti kichizi, mchezaji ili awe vzr anahitaji kucheza mara kwa mara, huko aendako Mayele anaenda kugombania namba na watu wenye akili zao, huko hakuna nafasi kwa mashabiki kupiga makelele kama Taifa kushinikiza kocha amuingize.Haipo huko.
Kwahiyo mimi naona Mayele anaenda kupotea akiondoka nchini.