Kwa mpango huu hata mimi nitashindwa kupata mke

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
853
Reaction score
210
Ikiwa kweli wanawake watafata fedha ilipo na siyo mapenzi;hata mimi nitakuwa na wakati mgumu au nitashindwa kabisa kupata mke mwenye mapenzi ya dhati.
 
Attachments

  • Fuedha.jpg
    12.7 KB · Views: 500
Mapenzi ya dhati yananunuliwa siku hizi...
Upendo ambao mwanamke atakupa bure ni ule aliokupa mamako tu.
Kwishnei!
 
Mapenzi ya dhati yananunuliwa siku hizi...
Upendo ambao mwanamke atakupa bure ni ule aliokupa mamako tu.
Kwishnei!

Mkuu bado kuna mapenzi ya kweli bana
Kwani mapenzi yako na mkeo wa ndoa nayo yananunuliwa au uko nae ndani ya nyumba sababu ya kwamba unampa pesa
 
ahaa hahaaahahah! nimeipenda hiyo mkuu!
 
Mapenzi ya dhati yananunuliwa siku hizi...
Upendo ambao mwanamke atakupa bure ni ule aliokupa mamako tu.
Kwishnei!

Ndio ukweli halisi_ingawa hatutaki kukubali.........
 
Mkuu bado kuna mapenzi ya kweli bana
Kwani mapenzi yako na mkeo wa ndoa nayo yananunuliwa au uko nae ndani ya nyumba sababu ya kwamba unampa pesa

napita tu hapa,.................................................
 
fanya kazi wewe acha kulialia ...
 
Mi mwenyewe biashara za hivi huwa sizitaki kabisa
ingawaje mameo mengi yako after cash money
 
Kuna ukweli kiasi fulani ila ilibidi aseme kabisa hiyo bank iwe Bank Kuu isije ikawa Merridien Biao Bank!
 
Ikiwa kweli wanawake watafata fedha ilipo na siyo mapenzi;hata mimi nitakuwa na wakati mgumu au nitashindwa kabisa kupata mke mwenye mapenzi ya dhati.

Nani amekwambia kuna mapenzi ya Kweli dunia hii
 
sio wote wenye mapenzi ya pesa wengine wanapenda kweli.
 
Mkuu bado kuna mapenzi ya kweli bana
Kwani mapenzi yako na mkeo wa ndoa nayo yananunuliwa au uko nae ndani ya nyumba sababu ya kwamba unampa pesa

imekuwa bora liende tu. Sasa akijiendekeza si atakuwa haolewi?
Ndoa kimekuwa si kipimo cha mapenzi, ila timizo la haja za kimaisha. Tunarudi kama zamani ambapo binti huchaguliwa mume na kijana akachaguliwa mke, haijalishi wamependana au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…