Kwa mnaotoka mwenge kwenda ubungo tafuten njia nyingine tuko kwenye foleni 1hr nw.

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Sisemi kwa ubaya
ila nahisi kuna wakati wanajeshi wanaitajika kuchapa makofi hawa askari wa baarabarani wapate akili kidogo
tuko njia ya kutoka mwenge kwenda ubungo wapendwa tumezima na kuwasha gari sasa ni 1hr na atujui cha zaidi ya kuona askari mmoja anaongoza magari upande mmoja tu

mbaya amewaona wanajeshi akawaruhusu kupita upande wa pile kitu ambacho akruhusiwi

anyway nakushauri kama aunapita njia hii usisubuthu kabisa mimba ya haja
 
Back
Top Bottom