Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
- Thread starter
-
- #41
Si kweli. Si Mikoa yote Tanzania ina Uwanja maalumu wa kusherehekea maonyesho ya sabasaba kama yanayoendelea sasahivi huko dsm. Ushauri huo unawafaha watu wa dsm na mwanza.
Aidha kwenda sabsaba kutafuta mchumba ni kupoteza muda kama kutafuta mchumba kwenye mitandao.
Suala la mchumba ni suala nyeti sana ni vizuri kumshirikisha Mungu, Mchumba anaweza patikana sehemu yeyote na mara nyingine bila hata kupanga.
Mimi binafsi kamwe sijawahi na wala sitegemei kutoka kwenda sehemu eti kutafuta mchumba. Manake nasikia kuna watu wengine wanakwenda makanisani sio kusali, bali kutafuta wachumba
Teh teh.. ndo mambo ya fasta fasta hayoUmenikumbusha kuna jamaa yangu aliachana na mchumba wake wa siku nyingi, akaenda saba saba kujifariji.
Huku akapata msichana mwingine fasts fasta akaanza process za ndoa, akamuoa.
Guess what!!
ndani ya mwaka tuu wakashindwana hatimaye waka'divorce tena kwa ugomvi mkubwa.
naomba nitajie mikoa mingine, na sehemu ambapo hivyo viwanja vipo.mikoa ambayo ina uwanja maalumu wa kusherekea saba saba si dar na mwanza. ipo mingi tu.
naomba nitajie mikoa mingine, na sehemu ambapo hivyo viwanja vipo.
sahihi kabisa mi mwenyewe nimepata watatu na wapo kwenye hati punguzo la msimu huu wa 7,7. nafaudu ila mbaya.siku ya sabasaba ni siku inayokutanisha watu toka sehemu tofauti badala ya kuangaika kutafuta mchumba kwenye mitandao na kupoteza muda wako.nashauri uende sabasaba unaweza pata mke/mme ukaoa/kuolewa. mikoa yote ina uwanja maalumu wa kusherekea uko utakutana na watu wenye vigezo unavyotaka. kuna rafik yangu aliwaipata mchumba uko.changamkien fursa.
AAAhhh kuna nane nane bhana we vipi...eennhhhh...usisahau jembe lakini, sikukuu ya eid daaah siku zipo nyingi tu...jamani nimesoma late sa si inabidi nisubiri hadi next year?very unlucky
No, next year mbali sana jombaa kama upo hapa Dar, da Best place ni Mlimani City jombaa hasa siku za wiki endi wachumba utawaona teele tele kabisa tena wa kila aina..... saba saba ni cha mtoto.....jamani nimesoma late sa si inabidi nisubiri hadi next year?very unlucky
No, next year mbali sana jombaa kama upo hapa Dar, da Best place ni Mlimani City jombaa hasa siku za wiki endi wachumba utawaona teele tele kabisa tena wa kila aina..... saba saba ni cha mtoto.....
Si kweli. Si Mikoa yote Tanzania ina Uwanja maalumu wa kusherehekea maonyesho ya sabasaba kama yanayoendelea sasahivi huko dsm. Ushauri huo unawafaha watu wa dsm na mwanza.
Aidha kwenda sabsaba kutafuta mchumba ni kupoteza muda kama kutafuta mchumba kwenye mitandao.
Suala la mchumba ni suala nyeti sana ni vizuri kumshirikisha Mungu, Mchumba anaweza patikana sehemu yeyote na mara nyingine bila hata kupanga.
Mimi binafsi kamwe sijawahi na wala sitegemei kutoka kwenda sehemu eti kutafuta mchumba. Manake nasikia kuna watu wengine wanakwenda makanisani sio kusali, bali kutafuta wachumba
Huu ujumbe umfikie pia na badiebey eti Money Stunna maana alikutafutia mtandaonii teh,,,,,
No, next year mbali sana jombaa kama upo hapa Dar, da Best place ni Mlimani City jombaa hasa siku za wiki endi wachumba utawaona teele tele kabisa tena wa kila aina..... saba saba ni cha mtoto.....
mh wewe mnoko!!
Duh kama wachumba wanatafutwa hivyo basi kaazi saana,yaani kama unaenda kununua bidhaa!
Aiseeee!!!!