Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
..true... mitandaoo unaweza chat na demu kumbe KIBIBI KIZEE unapoteza time & energy...over 500,000 miles engine imeliwa. afu ukikutana nae unapiga kona hata kabla hujamsalimia... so good idea....
naomba tukutane 77
Inahitaji utaalam fulan,tatizo
ukimuon umpenday anakuw ktk watu,kumuongelesha inakuw inshu
ukimvutia muda umempoteza,
Nyumba za ibada ndo the best place utampata tu
jamani nimesoma late sa si inabidi nisubiri hadi next year?very unlucky
Sure 77 kuna mademu wa ukwee.
haya mchumba tukutane sa moja kamili getini tufahamiane hadi sa 4 wakifungua tuingie tupapase macho kidogo sa 7 tupate lunch tuondoke sa tisa ukanitambulishe kwa mama jamani kama yupo hapa Dar sio ndio mume mtarajwa?
Aa ngoja kwanza,we nshajua unajua sana kutongoza namtaka Ziltan
harafu ndoa mnafunga 8. 8
aakuu!!!!

Si kweli. Si Mikoa yote Tanzania ina Uwanja maalumu wa kusherehekea maonyesho ya sabasaba kama yanayoendelea sasahivi huko dsm. Ushauri huo unawafaha watu wa dsm na mwanza.siku ya sabasaba ni siku inayokutanisha watu toka sehemu tofauti badala ya kuangaika kutafuta mchumba kwenye mitandao na kupoteza muda wako.nashauri uende sabasaba unaweza pata mke/mme ukaoa/kuolewa. mikoa yote ina uwanja maalumu wa kusherekea uko utakutana na watu wenye vigezo unavyotaka. kuna rafik yangu aliwaipata mchumba uko.changamkien fursa.
jamaaaaniiiiiiiii!!!!!! wewe hutaki kupata mchumba wa 77?