Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
siku ya sabasaba ni siku inayokutanisha watu toka sehemu tofauti badala ya kuangaika kutafuta mchumba kwenye mitandao na kupoteza muda wako.nashauri uende sabasaba unaweza pata mke/mme ukaoa/kuolewa. mikoa yote ina uwanja maalumu wa kusherekea uko utakutana na watu wenye vigezo unavyotaka. kuna rafik yangu aliwaipata mchumba uko.changamkien fursa.
Umenikumbusha kuna jamaa yangu aliachana na mchumba wake wa siku nyingi, akaenda saba saba kujifariji.
Huku akapata msichana mwingine fasts fasta akaanza process za ndoa, akamuoa.
Guess what!!
ndani ya mwaka tuu wakashindwana hatimaye waka'divorce tena kwa ugomvi mkubwa.
wazo zuri
Duh!! Linaweza kuwa wazo zuri kwa vijana? Kwanini iwe saba saba na wala isiwe kwenye nyumba za ibada, sherehe, misiba, Kumbi za starehe, mashuleni, vyuoni, mitaani nk
Huko kila mtu anakwenda na wake
jamani nimesoma late sa si inabidi nisubiri hadi next year?very unlucky
Inahitaji utaalam fulan,tatizo
ukimuon umpenday anakuw ktk watu,kumuongelesha inakuw inshu
ukimvutia muda umempoteza,
inamaana mkuu wewe huwezi kuanzisha mazungumzo na mwanamke ambaye humfahamu?
kesho ndiyo mwisho tukutane basi kesho jamani....