SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Feb 14, 2012 987 220 May 20, 2012 #1 Naombeni mnisaidie katika hili, je? CCM ina-wakaguzi wa ndani (internal auditors)? Ina-mdhibiti na mhakiki mali za chama? ina-wahasibu qualified? Hii ni kuanzia gazi ya chini kabisa hadi ngazi ya kitaifa. Na CDM, CUF, NCCR na vyama vyote kadharika.
Naombeni mnisaidie katika hili, je? CCM ina-wakaguzi wa ndani (internal auditors)? Ina-mdhibiti na mhakiki mali za chama? ina-wahasibu qualified? Hii ni kuanzia gazi ya chini kabisa hadi ngazi ya kitaifa. Na CDM, CUF, NCCR na vyama vyote kadharika.
J Jeho JF-Expert Member Jul 2, 2011 5,053 5,504 May 20, 2012 #2 Ngoja nipite tu hapa, wakija utawaambia wanaojua tu ndio wajibu swali.
Waridi JF-Expert Member Mar 30, 2008 1,025 172 May 20, 2012 #3 NCCR-Mageuzi, licha ya kuwa tunao internal auditors, mara kwa mara tunapata pia huduma ya external auditors. Aidha chombo kikuu cha udhibiti wa mali za chama kinaitwa baraza la wadhamini wa chama.
NCCR-Mageuzi, licha ya kuwa tunao internal auditors, mara kwa mara tunapata pia huduma ya external auditors. Aidha chombo kikuu cha udhibiti wa mali za chama kinaitwa baraza la wadhamini wa chama.