Kwa wale wenye uzoefu tafadhali naombeni kusaidiwa hili

Jan 26, 2019
67
86
Habari wanajukwaa natumai wazima na harakati za hapa na pale zinasonga jamani mimi naombeni mnisaidie tu kwa hili.

Nimepata KIBARUA cha kuangusha au kulaza MTAMA chini kabla ya kukata kichwa cha mtama . kwa wale wa kulima au wenye udhoefu wa mtama hususani wakazi wa Lindi mnalipaje kwa kuangusha au kulaza mtama shamba la nusu hekari au kwa HEKARI MOJA n.k.

Malipo kwa vibarua maana nimepata dili na hii ndo mara ya kwanza kwangu kujihusisha na KAZI ZA VIBARUA
 
Habari wanajukwaa natumai wazima na harakati za hapa na pale zinasonga jamani mimi naombeni mnisaidie tu kwa hili.
Nimepata KIBARUA cha kuangusha au kulaza MTAMA chini kabla ya kukata kichwa cha mtama . kwa wale wa kulima au wenye udhoefu wa mtama hususani wakazi wa Lindi mnalipaje kwa kuangusha au kulaza mtama shamba la nusu hekari au kwa HEKARI MOJA n.k
Malipo kwa vibarua maana nimepata dili na hii ndo mara ya kwanza kwangu kujihusisha na KAZI ZA VIBARUA

Mzee uko hakuna wakulima wenzio uwaulize?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom