Kwa mnaoeitegemea heslb. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mnaoeitegemea heslb.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Sep 8, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa nilizozipokea hvi punde kutoka kwa chanzo kinachoaminika,ni kwamba loan allocations zenu zitatolewa sometime next week.over
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  tumesha wazoea..
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  yale yale ya siku zote
   
 4. Thomas D Segeja

  Thomas D Segeja Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 25
  i hope ni tarehe kumi
   
 5. Victor Kisanga

  Victor Kisanga Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mule mule.
   
 6. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watoe wasitoe watajua wao.kama vp wajikopeshe wao c wanaona wivu ku2kopesha naingekua wana2pa bure cjui ingekuaje.
   
 7. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Unataka kujua umepata mkopo asilimia ngapi? Bonyeza hapa
   
 8. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  sasa mkuu lazima uamin unatabia mbaya sana ya UONGO!!! nimeona siku nyingi tu jinsi unavyodanganya watu humu ndani...nadhani unakumbuka vizuri maswala ya loan na ulisema j3 then j5 baada ya hapo nadhan unajua mwenyewe nini kilichotokea...sasa leo tena umekuja na ka-link(kwenye red) ambako hakaeleweki kana nini(nadhani umenielewa)!!
  SASA HII NI KWA MSAADA WAKO...YAKUPASA UBADILIKE..BADILI TABIA...ACHA UONGO,NAAMINI MADHARA YAKE HUTAYAONA LEO ILA BAADAE NA NNA UHAKIKA UTAJUTA TU!!! kumbuka sitaki bishana na wewe ila nataka ubadilike...kwa manufaa yako na ujue hii ni jf na sio fb!!!
   
 9. a

  amanayor Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Au wanasubiri chenji ya Rada,,
   
 10. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  TCU watakuwa wametoa majina RASMI ya waliochaguliwa kujiunga na kila chuo kwenye website yao kama hao HESLB walivyotaka mpaka wakati huo?
   
 11. s

  shamsa5 Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hamna mjinga mwenzio apa wote tunaakili timamu cyo kama ww una kurupupuka na kuleta vitu visivyo ingiliana na ulichoandika so tumia ftrsa yako apa kiutuuzima na kiumakini zaidi na chambua mabo kabla hujaandika apa
   
 12. K

  Kibulu Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  4q all!
   
 13. Nzunga

  Nzunga Senior Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
   
Loading...