Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,392
- 1,416
Wakuu katika hali yangu ya maisha, nina takriban miezi kadhaa huwa nakula mara 2 kwa siku, yaani chakula cha mchana nakula saa nne mfano (samaki na chapati 3, na juice) halafu nakuja kula jioni saa 12 au usiku muda usiozidi saa 4).
Kwa kufanya hivyo, toka mwaka 2019 nimekuwa na kilo 69, muda mwingine 71 mpaka 70 zinachezea humo) ila mwaka 2018 niliwa kuwa na kilo 89 ila mwili wangu ulikuwa hivi hivi...
Kwa kufanya hivyo, toka mwaka 2019 nimekuwa na kilo 69, muda mwingine 71 mpaka 70 zinachezea humo) ila mwaka 2018 niliwa kuwa na kilo 89 ila mwili wangu ulikuwa hivi hivi...