Kwa mliomaliza kulipa mkopo HESLB

Kwa mliomaliza kulipa mkopo HESLB

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,326
Reaction score
7,807
Habari wakuu,

Je ukimaliza kulipa deni la mkopo bidi, unapewa Cheti Cha kumaliza kulipa (certificate of completion)???

Naomba kujua Hilo tu
 
mwezi huu wanamalizia 50,000/= yao ila siendi kuchukua hicho cheti maana sina kazi nacho
 
Habari wakuu,

Je ukimaliza kulipa deni la mkopo bidi, unapewa Cheti Cha kumaliza kulipa (certificate of completion)???

Naomba kujua Hilo tu
Ndio unatakiwa upewe barua inayoonesha ya kuwa hudaiwi tena. LOAN CLEARANCE LETTER
 
mwezi huu wanamalizia 50,000/= yao ila siendi kuchukua hicho cheti maana sina kazi nacho
Nenda Loan Board,bado kuna deni jingine ukamalizie,la sivyo lile lililobaki kule bado lina riba hivyo litaongezeka zaidi na watakudai tu
 
hiv kuna watu wanalipa loan board had wanamaliza ??? me sijui nitaanza kulipa mwaka gani, au niseme tuu sitalipa... maisha yangu nayajua mwenyewe hata wakisema nilipe 1000. (elfu moja) kwa mwezi bado naona ngumu..

sio ujeuri ila nadhan maisha bila ya ajira ndo yananifanya niwaze hiv
 
Back
Top Bottom