Abuu Sumaiyah
Member
- Oct 4, 2015
- 24
- 3
Habari wakuu kwa wale wote mliochaguliwa DIT karibu vijana mpate kuwa wahandisi kwa una swali lolote usisite kuuliza ntakusaidia kadri ya nnavyofahamu
kwa kozi za engineering udsm na dit wapi bora...??Habari wakuu kwa wale wote mliochaguliwa DIT karibu vijana mpate kuwa wahandisi kwa una swali lolote usisite kuuliza ntakusaidia kadri ya nnavyofahamu
unapiga nini pale mkuu?Habari wakuu kwa wale wote mliochaguliwa DIT karibu vijana mpate kuwa wahandisi kwa una swali lolote usisite kuuliza ntakusaidia kadri ya nnavyofahamu
njooo DIT kaka pale hakuna wanasiasa wala warembo ni uhandisi tukwa kozi za engineering udsm na dit wapi bora...??
yes ipo marketable ukizingatia tunaelekea kwenye tanzania ya viwanda mi mwenyewe nipo mechanical engMechanical engineering IPO vzr???!!!..kujiajiri na kuajiriwa???
mechunapiga nini pale mkuu?
Dit is gud UDSM is the best..kwa kozi za engineering udsm na dit wapi bora...??
Hahahaaaaaa that's logicDit is gud UDSM is the best..
I can prove this!njooo DIT kaka pale hakuna wanasiasa wala warembo ni uhandisi tu
Dah ... BSc v/s B Eng? Unajua tofauti?Dit is gud UDSM is the best..