Kwa mila hii,,usalama wa mapenzi ya dhati uko wapi?

Kwa mila hii,,usalama wa mapenzi ya dhati uko wapi?

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
Nimekuwa nikishangazwa sana na mila ya Wamasai ambapo katika ndoa yapo ya kustajabisha si kwa kizazi cha sasa tu.Iko hivi
::
Ukiwa mwanaume wa kimasai unaeshikilia mila,ukirudi kwako ukakuta mkuki nje ya nyumba yako (mlangoni) hiyo ni ishara kuwa ndani kuna mwanaume ana mkeo ndani wana-sex.
Unachotakiwa kufanya ni wewe kwenda nyumba nyingine unasimika mkuki nje ya nyumba ambayo mume hayupo.Mzunguko unaendelea na hakuna lawama.
::
Najiuliza,,hivi kile kinachoitwa Mapenzi ya dhati yana maana ipi?
=
 
ishu ya ujamaa hiyo!!! kwani kusex ndo mapenzi mkuu???
 
huo ndo mpango mziama mwenzangu raha u test radha tofauti tofauti na kujua size
 
Back
Top Bottom