Kwa miaka miwili walimu tumeshamkumbuka shemeji

Kwa miaka miwili walimu tumeshamkumbuka shemeji

Nadhan wanatendewa haki walio itaka molofa sana walimu na wafanyakazi wa nchi hii! Vyama navyo vko kama vimelishwa limbwata vile nyoko hawa!
 
Mwl kura yako ndio ukombozi wako,kila baya tulilofanyiwa kutopanda madaraja, kutopewa nyongeza ya mishahara,kunyanyaswa na DCs na RCs, tuyahifadhi kwenye sakafu ya mioyo yetu na kamwe tusiyasahau ila kuanzia 2019 tuyafanyie maamuzi kupumzisha serikali tawala na 2020 tukamilishe kila kitu kabisa kwa kuwafutilia mbali, walimu ni jeshi kubwa hakuna wa kuzuia mabadiliko yetu, solidarity forever, forward ever,backward never
Walimu wapi unaozungumzi, hawa wa Tanzania? Pole sana!
 
Toka wiki iliyopta sijaingia class
Kila mtu apambane na hali yake

My own brand!!
 
Ni kweli kabisa tumemkumbuka sshemeji yetu JK, mtu wa tabasamu, roho nyeupe, mwenye kujali utu na juhudi za watumishi wa umma, akiahidi anatekeleza, kama haiwezekani anakupa sababu

Ni miaka miwili sasa hatupandi madaraja, hakuna annual increment, matisho kwa watawala, kila anayetaka aonekane na mkuu anatafuta kiki kwa kuwadhalili walimu, Mungu akulinde shemeji JK.
Na bado mtamkumbuka hadi Wifi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom