Kwa miaka miwili walimu tumeshamkumbuka shemeji

Kwa miaka miwili walimu tumeshamkumbuka shemeji

kitama yetu

Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
82
Reaction score
29
Ni kweli kabisa tumemkumbuka sshemeji yetu JK, mtu wa tabasamu, roho nyeupe, mwenye kujali utu na juhudi za watumishi wa umma, akiahidi anatekeleza, kama haiwezekani anakupa sababu

Ni miaka miwili sasa hatupandi madaraja, hakuna annual increment, matisho kwa watawala, kila anayetaka aonekane na mkuu anatafuta kiki kwa kuwadhalili walimu, Mungu akulinde shemeji JK.
 
pole sana mkuu! i hope utachukua hatua ifikapo 2020...All the best
 
Mwl kura yako ndio ukombozi wako, kila baya tulilofanyiwa kutopanda madaraja, kutopewa nyongeza ya mishahara, kunyanyaswa na DCs na RCs, tuyahifadhi kwenye sakafu ya mioyo yetu na kamwe tusiyasahau ila kuanzia 2019 tuyafanyie maamuzi kupumzisha serikali tawala na 2020 tukamilishe kila kitu kabisa kwa kuwafutilia mbali, walimu ni jeshi kubwa hakuna wa kuzuia mabadiliko yetu, solidarity forever, forward ever, backward never.
 
Afu wamchague nani ambaye ameonyesha UTAYARI WA VITENDO wa kupigania HAKI ZAO????....

Kama unaamni hawa WATETEZI WA WAHALIFU wa nchi hii, wanaoshindwa hata kutumia kiasi kidogo za pesa kujenga OFISI YAO ya maana na HELA ZAO ZOTE ZINAISHIA kwenye matumbo yao.....Unajidanganya....

Atleast wangetuonyesha utayari wa VITENDO kwa matumizi ya KODI ZETU serious tungekuwa na imani nao kubwa kuwapa NCHI na kusimamia HAKI ZA WAALIMU na RASILIMALI ZETU.....ila mimtuu miaka 20....YANAISHI KWENYE VIBANDA mkiwapa NCHI si wataambia miaka itano HAITOSHI tuongezeeni 30
 
Afu wamchague nani ambaye ameonyesha UTAYARI WA VITENDO wa kupigania HAKI ZAO????....
Kama unaamni hawa wanaoshindwa hata kutumia kiasi kidogo za pesa kujenga OFISI YAO ya maana na ELA ZAO ZOTE ZINAISHIA kwenye matumbo yao.....Unajidanganya
Wacha nao wakatumie kujenga viwanja vyao vya Mpira
kama sisiemu
 
Walimu wengi wa shule za msingi hawajitambui hata wachapwe viboko na maDC au maRC
ikifika 2019 yote hayo wanasahau....na serikali ya ccm inavyowajulia ikifika kipindi hicho inatangaza kulipa madeni yao ya likizo na uhamisho...mchezo umeisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom