kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,879
- Thread starter
-
- #41
Swala siyo kumtambua mwanaume bikira swala ni kwamba wanawake wakijitunza hadi ndoa si sawa na kusema wanaume nao wajitunze au? Au wakati wanawake wanajitunza hao wanaume watakuwa wanafanya na kina nani?
Si nao itabidi wajitunze maana hakuna watakokuwa wanapata mchezo? Ndo maana nikauliza ukisema wanawake wote wajitunze hadi ndoa ina maana na wanaume nao wawe tayari kujitunza hadi ndoa? Sasa swali ni je mnaweza?
Sasa anayemshawishi mwenzie kupitia hizo pesa huwa ni nani?Kwa mwanaume Inawezekana sana... Nyie pesa imewazidi nguvu mnashawishika sana
Sasa anayemshawishi mwenzie kupitia hizo pesa huwa ni nani?
Ingekuwa hivyo hivyo.
Basi mwanaume ukishaona umewahi kufanya sex na mwanamke kabla ya ndoa usilazimishe kuoa mwanamke bikira maana kumbuka hilo likifanywa na kila mwanaume basi kutakuwa mabikira wachache sanaNi Mwanaume, Na mwanamke akishawishika ujue ndio atakaa kundi la wale ambao hawataolewa kwa sababu hawana bikra.. Lakini mwanaume ataoa mwanamke bikra, hatakama mwanaume alishasex
Akaolewe mke wa pili[emoji38][emoji38]kama ni mume wa mtu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zinaenda wapi?
Imagine kuhusu dada zako na ndugu zko wa kike...............
Uko south africa kuna kabila ambalo wasichana wote bikra wanapewa priority...ktk huduma za kijamii kama kusoma bure. Hiii inasaidia wasichana kujitunza
Kwikwikwikwi sahivi hazipo?Tungekuwa nazo tu kama ingekuwepo kanuni mwanamke/msichana hasiye na bikra haolewi
Sahivi kinashindikana nini?Ingekua ngoma droo maana tusingechanua mpk ndoa
Sahivi kinashindikana nini?
Nature
Kwahiyo wewe watu washaichoropoa bikra hiyo...Nakwambia tungezitunza tu maana kama hauna bikra hauolewi milele, nani anataka fedheha hiyo!