bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Nimejiuliza Swali kwa Mfano ikitokea wale wote waliowekwa nje ya uongozi kipindi hiki(Kutenguliwa) wakiamua kuanzisha chama chao cha Siasa Je...
Jina litapendeza kuitwa chama hicho?
Na Nani atafaa kuwa Mgombea wao Wa Uraisi?
Nimewaza Tu lakini ila Sidhani kama litaweza kutokea.
Jina litapendeza kuitwa chama hicho?
Na Nani atafaa kuwa Mgombea wao Wa Uraisi?
Nimewaza Tu lakini ila Sidhani kama litaweza kutokea.