asee mimi mwenyew simjui vizuri lakin kwenye comment wanasema alikuwa alikuwa anaafundisha ndondo cupNi yupi huyu Medo?
ndani ya misimu hii miwili alikuwa wap?Alikuwa kocha wa Coastal union kabla ya kuboronga kisha timu ikarudi mikononi mwa Pep Gardiola mnene.
Huyu ni raia wa Marekani kama sijakosea
Alikuwa Coastal union mwanzoni mwa msimu uliopitandani ya misimu hii miwili alikuwa wap?
sasa kama alikuwa mzuri, mbona watu hawamuamini ama kuna nn kimejificha?Alikuwa Coastal na timu ilifanya vzr chini yake,baadae wakashindwana akaondoka, huyo mnaemsema amecheza play off mara mbili timu ikitaka kushuka chini yake.
Alikuwa kocha wa coastal union akajiuzuluasee mimi mwenyew simjui vizuri lakin kwenye comment wanasema alikuwa alikuwa anaafundisha ndondo cup
sasa inakuaje watu hawajamkubali wanasema bora hata wamchukue mathias lule?Alikuwa Coastal union mwanzoni mwa msimu uliopita
ujio wake dodoma jiji kama hujakubalika vile au sio kocha mzuriAlikuwa kocha wa coastal union akajiuzulu
Alitaka kuishusha daraja Coastal union hivyo wakamtimua kabla hajaishusha mazima, baada ya hapo Mgunda alipambana hadi ikabaki ligi kuu. Kwa muktadha huo lazima Dodoma jiji fc wahofie hilosasa inakuaje watu hawajamkubali wanasema bora hata wamchukue mathias lule?
ooooh, hapo nimekupata sasa alipoandoka alienda wap ili tujue kidogo historia yake maana mashabiki hawataki kusikia kabisa ujio wakeAlitaka kuishusha daraja Coastal union hivyo wakamtimua kabla hajaishusha mazima, baada ya hapo Mgunda alipambana hadi ikabaki ligi kuu. Kwa muktadha huo lazima Dodoma jiji fc wahofie hilo
Kwa hapa Tanzania hakuna timu iliyomchukua labda kama alipata nje timu japo sina uhakika.ooooh, hapo nimekupata sasa alipoandoka alienda wap ili tujue kidogo historia yake maana mashabiki hawataki kusikia kabisa ujio wake
Ana masihara ila ni mwalimu mzuri sanasasa inakuaje watu hawajamkubali wanasema bora hata wamchukue mathias lule?
Alikua anafundisha ile timu ya kina ALI KAMWE ya NDONDO CUP, ilikua inaitwa INSTA UNITED nafikiriooooh, hapo nimekupata sasa alipoandoka alienda wap ili tujue kidogo historia yake maana mashabiki hawataki kusikia kabisa ujio wake
umughaka yupi huyo?