Kwa Medo Melis tutafika kweli Dodoma Jiji?

Deal28

Member
Aug 29, 2022
96
114
Walima zabibu waingia mkataba na kocha Melis Medo, baada ya kuachana na Mausod Djuma, lakini katika pitapita zangu huko, mashabiki wengi hawakubaliani na usajili wake na kulaumu uongozi kwanini Melis Medo, Kwani vipi?
 
Alikuwa kocha wa Coastal union kabla ya kuboronga kisha timu ikarudi mikononi mwa Pep Gardiola mnene.
Huyu ni raia wa Marekani kama sijakosea
 
Alikuwa Coastal na timu ilifanya vzr chini yake,baadae wakashindwana akaondoka, huyo mnaemsema amecheza play off mara mbili timu ikitaka kushuka chini yake.
 
Alikuwa kocha wa Coastal union kabla ya kuboronga kisha timu ikarudi mikononi mwa Pep Gardiola mnene.
Huyu ni raia wa Marekani kama sijakosea
ndani ya misimu hii miwili alikuwa wap?
 
Alikuwa Coastal na timu ilifanya vzr chini yake,baadae wakashindwana akaondoka, huyo mnaemsema amecheza play off mara mbili timu ikitaka kushuka chini yake.
sasa kama alikuwa mzuri, mbona watu hawamuamini ama kuna nn kimejificha?
 
sasa inakuaje watu hawajamkubali wanasema bora hata wamchukue mathias lule?
Alitaka kuishusha daraja Coastal union hivyo wakamtimua kabla hajaishusha mazima, baada ya hapo Mgunda alipambana hadi ikabaki ligi kuu. Kwa muktadha huo lazima Dodoma jiji fc wahofie hilo
 
Alitaka kuishusha daraja Coastal union hivyo wakamtimua kabla hajaishusha mazima, baada ya hapo Mgunda alipambana hadi ikabaki ligi kuu. Kwa muktadha huo lazima Dodoma jiji fc wahofie hilo
ooooh, hapo nimekupata sasa alipoandoka alienda wap ili tujue kidogo historia yake maana mashabiki hawataki kusikia kabisa ujio wake
 
ooooh, hapo nimekupata sasa alipoandoka alienda wap ili tujue kidogo historia yake maana mashabiki hawataki kusikia kabisa ujio wake
Kwa hapa Tanzania hakuna timu iliyomchukua labda kama alipata nje timu japo sina uhakika.

Mbaya zaidi wakati anaondoka Coastal union hakuondoka kwa aman alitoa maneno ya dhihaka ya kuwatuhumu wenye timu juu ya masuala ya kuongoza timu kwa kutumia mizimu n.k.
 
Kama sijakosea huyu alikuja kuifundisha gwambina ikiwa ligi kuu kisha akaenda huko kwa wagosi
Timu alizopita hajaacha alama ndiyo maana akina Mazengo hawamtaki
 
ooooh, hapo nimekupata sasa alipoandoka alienda wap ili tujue kidogo historia yake maana mashabiki hawataki kusikia kabisa ujio wake
Alikua anafundisha ile timu ya kina ALI KAMWE ya NDONDO CUP, ilikua inaitwa INSTA UNITED nafikiri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom