Kwa mdada aliye Arusha, njoo PM tuyajenge

Kwa mdada aliye Arusha, njoo PM tuyajenge

Km kweli hapo kuoga ni uongo mahi wangu, huko hata maji ya kunywa mpk yale yaliyochemka na kutoa mvuke. Sasa Ikonda na makete ndo kabisa hata kunawa kipengele ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
mahi diha,,npo njombe sema nshazoea kuoga kwakwel ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚huko makete bwan ukute na yale maseve yanaanguka๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
umetuachia sie vilimbukeni,, ingawa nmefunga pia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพila kuna mda nafungua kuchungulia kisha nafunga tena
Pm uwe makini usije kufanya jambo likakufanya uje kubadili id ohhh.!! Huko sio pouwa!!
Ukiomba afu tatu unaletwa wima wima huku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
mahi diha,,npo njombe sema nshazoea kuoga kwakwel ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚huko makete bwan ukute na yale maseve yanaanguka๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Miso Missondo
 
Pm uwe makini usije kufanya jambo likakufanya uje kubadili id ohhh.!! Huko sio pouwa!!
Ukiomba afu tatu unaletwa wima wima huku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kwani wapo wenye hizo afutatu humu sasa
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Miso Missondo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yapo magonjwa mengi yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana
Nayo baadhi ni UKIMWI, kaswende,kisonono, ini,,,nk
Maelezo mengi na PM ushafika Manker ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Extend my greetings lovely
 
Back
Top Bottom