Kwa mbwembwe zote zile mshahara wa watumishi wa Umma imeongezwa Tsh 7,000/=(elfu saba tu)

Lawama ziwafikie TUKTA na timu yao ya uongozi.
Tangu aingie mapembe hawajawahi kutoa waraka wakinaume wala kuitisha mgomo ilhali watumishi wanaliwa 2% kila mwezi.
Mimi kuna wapuuzi waliniletea fomu za TUGHE nikazipokea nikaenda kufungia wateja wangu bidhaa dukani kwangu.
Tucta hii ambayo viongoz wake wana kadi ya chama
 
utegemee rushwa itapungua kwenye ofisi na taasisi za serikali. hayo ni matunda ya hapa kazi tu.
 
  • Thanks
Reactions: snn
Hao watu wakifa kwa magonjwa, njaa na umasikini kuna faida gani ya maendeleo?

Train za umeme, umeme wenyewe ni wa mgao, bombardier zinazokamatwa kwa madeni, juzi Dar nzima ilitaka kutibiwa kwenye meli ya wa-China.
The!
Et nini ? kutibiwa!
 
Ongezeko la Tsh elfu saba kwa watumishi laki tano hutoa wastani wa Tsh bilioni 42 kwa mwaka. Hizo ni pesa nyingi kwa serikali ingawa wewe unaona kama ni ongezeko dogo.
Acha uongo Mkuu, 42bil ni pesa ndogo sana kwa serikali inayokusanya zaidi ya 1.3b kwa mwezi.. Ingekua pesa kubwa ndugu yenu asingeitapanya kule chato kujengea kiwanja kwa pesa hiyo.
 
Back
Top Bottom