Kwa mawazo yako nini kingetokea kama yale maandamano ya kumpinga Trump yangekua yanafanyika Tanzania

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
Endapo maandamano ya kumpinga Trump yangekua yanafanyika katika nchi mojawapo Tanzania mpaka sasa unafikiri hali ingekuwaje! mie nadhani
1. tungekuwa na maelfu ambao tayari wameumizwa
2.
3
4
ongezea na wewe
 
Waafrika mkishiba mna matatizo sana!!!!
 
Ubaya wa maandamano yetu yana sura ya uhaini tupo radhi kuungana na wageni ili tutimize malengo..
 
Back
Top Bottom