tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
Heshima kwenu wandugu.
Naomba kuuliza jambo moja,hivi inawezekana kuunganisha matokeo ya NECTA ya form 6 ya kikao kimoja na kikao kingine ili kuqualify kuapply nafasi ya masomo let say diploma.
Kwa mfano mwaka 2013 alipata principle pass 1 tu bila hata subsidiary na mwaka 2014 akapata subsidiary tu bila principle pass yoyote kwenye combination yake.Hivyo kama ataunganisha vyeti basi atakuwa amekidhi vigezo vya kujiunga na mafunzo ya diploma.
Naombeni mawazo yenu wadau.