GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
crap as usual
Hakuna asiyejua kwamba CCM saiv inapumulia mashine kisiasa. Falsafa ya kujivua gamba imeshindwa kuwasafisha na badala yake inatishia kuwatoa madarakani. Pamoja na CCM 'kutangazwa washindi' Igunga, nawapa hongera CDM kwa kura ilizopata.
CCM saiv mnakabiliwa na maamuzi magumu ya kufanya kujisafisha na kutafuta support kwa wananchi kabla ya 2015. Mmeuona mziki wa CDM Igunga na hamtothubutu kuendelea na falsafa yenu ya kujivua gamba, kwa kuwa mnajua itawamaliza wenyewe.
Kumbe hata kwingine walipiga puuu.
Poleni sana magwanda. Mchezo umekwisha.
Kama huwezi kuona kura za Igunga zinaonyesha jinsi gani umaarufu wa Chadema unaongezeka, nina shaka na uwezo wako wa kujua mambo.
takataka!!! Nilikuwa sijui kama hauna akili kiasi hicho
Kama jamaa wameisha anza bna kubomoa ngome zenu za rorya, tarime , moshi mnakazi nzito siyo rahisi km mfikiriavyo !
Kumbe hata kwingine walipiga puuu.
Poleni sana magwanda. Mchezo umekwisha.
Unaongea kama umekunywa maji ya chooni nakusaidiakuelewa kama ifuatavyo
Rorya haikuwahi kuwa ngome ya Chadema.Il watu walichagua NCCR kwa kuwa wamechoka na CCM hata sasa kata hiyo waliyo shida CCM ni kazi ya hongo .Mbung wa Rorya ana maslahi binafsi so anatumia pesa kuwarubuni wajinga.
Tarime unayo ongelea si penye ngome ya Chadema .Kumbumba hata Igunga ni ngome ya CCM lakini angalia hta hesabu zinawashinda Tume kwa uwazi so acha kujifriji.
Moshi pia wao CCM na kiti hicho kilikuwa kinashikiliwa na CCM wamekirudisha sawa sawa na Rorya na Tarime huko nje ya mji na si mjini .Nadhani sasa utaelewa badala ya kuongea utombo mapema kama vile umetoka kunywa supu ya utumbo .
Wakati juzi trh 2.10.2011 ukifanyika uchaguzi wa Mbunge Jimbo la Igunga, vile vile kulikuwa na chaguzi 22 za madiwani zilizokuwa zinaendelea sehemu mbali mbali. Katika uchaguzi wa Igunga , sina la kusema kwani kila mmoja wet anajua kilichofanywa na CCM dhidi ya jeshi zima CDM na wakiwa na silaha zote ili hali wenzao CCM walipeleka jeshi dogo ila lililotumia mbinu na akili nyingi. Na jeshi bora si lile lenye uwingi wa watu bali lenye kutumia akili nyingi na mbinu (strategy ) zilizo kwenda shule.
Katika matokeo ya udiwani CCM kilishinda kata 17 zikiwamo zile ambazo kuna ngome ya CCM kama tarime, rorya na moshi, ambapo chadema kiliambulia 5 tu pamoja na kutumia viongozi wao mbali mbali wa kitaifa km Lissu, Mbowe, Zitto kuwapigia chepuo wagombea wao.My take : kama hali iko ni hivi basi ile falsafa ya cdm ya nguvu ya umma imeanza kuishiwa nguvu, kwani umaarufu wao umeanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu.
Tangaza huyu piga yule fullstop.
mbinu za kisasa za kutumia udini na umafia wa kuchoma nyumba za viongozi wenu ili msingizie chadema.....plus kuiba kura..stupid