Kwa material & vitabu vya CPA pitia hapa

Kwa material & vitabu vya CPA pitia hapa

Vitu vya maana hivi huwezi kuona watu.Ila ingekua ni website yenye vitabu vya jinsi ya kuwafikisha wanawake na kukuza vibamia ingekua thread kwenye page za 50 huko.

Big up sana chief.

Kiongozi umenena ukweli, ukitaka watu wachangie kwa kina zaidi ulete mada ya uzinzi na inayofanana na hiyo, nakushauri kiongozi ungeongea na NBAA kuhusu vitabu hivyo.
 
Vitu vya maana hivi huwezi kuona watu.Ila ingekua ni website yenye vitabu vya jinsi ya kuwafikisha wanawake na kukuza vibamia ingekua thread kwenye page za 50 huko.

Big up sana chief.
Ni ya kipuuzi lakini ndio yanayowaunganisha watu wote hata wale wasiosoma. Yakija hayo wote twaongea lugha moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mie ndo nataka nianze na ATEC. Material ntapata wapi? Maana naona kuna za pro level tu hapa
 
Wakuu mie ndo nataka nianze na ATEC. Material ntapata wapi? Maana naona kuna za pro level tu hapa
Mtapewa Vitabu vya stydy text vipya kwasababu syllabus mpya ilipitishwa mwezi machi, kafatilie syllabus pamoja na Vitabu vipya
 
Back
Top Bottom