Kwa mashemeji zangu wasandawe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mashemeji zangu wasandawe!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jackbauer, Jan 20, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nimetokea kuwa na uhusiano na mabinti wa kisandawe,kwa sura, shepu na tabia ni wazuri.Tatizo ni kuwa mabinti hawa wamekeketwa.
  Naomba niwaulize mashemeji zangu kwanini mnaondoa kiungo hiki muhimu?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Waulize hao mabinti zako.
   
 3. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  No No No! Hatuna mila potofu. Msandawe sio marangi, mmasai, mchaga wala makabila yote yenye mila potofu.
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  I lv yo name na jinsi ulivyojitokeza mapema ku-deny hii thread,
   
 5. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Kama kweli wewe shemeji yetu AKIANA?
  Kwa kweli umedanganywa, sisi wasandawe siyo wa hivyo. Atupo nyuma kama wengi wetu. Hamna vifo vya kina mama wakati wakijifungua. Dada, mama zetu wanaenjoy penzi pindi waki dooo. Hao watakuwa majirani zetu. Jooleei
   
 6. Mr Chabo

  Mr Chabo Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimefanya kazi Kondoa Kusini, siyo kweli.
   
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  anga na wade.

  Hivi kwenye lugha ya Kisandawe kuna 'ki'?
   
 8. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Mamasipo?
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mabinti hawa hukeketwa bila ridhaa yao wakiwa wadogo kabisa,tunahitaji kujua kwanini wafanyiwe hivyo?
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nina wasiwasi kama wewe ni msandawe!au labda ni msandawe aliyezaliwa muhimbili !
   
 11. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Mimi Msandawe haswa, najivunia kuwa msandawe. Wasandawe ni watu wazuri, wema, wenye kujali
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  onyesha hivyo kwa vitendo,nenda kawape somo wazee wa kisandawe kuwa mila hii potofu imepitwa na wakati.
   
Loading...