Kwa mara ya kwanza

Kwa mara ya kwanza

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
35,277
Reaction score
61,231
Africa ikionekana katika picha za satellite ya EU mpya bila mawingu kabisa na hapo unaona Lake Tanganyika, Victoria na Nyasa
Tuna mengi ya kujivunia
01d47fba5cba9b532d8c625968f04bac.jpg
 
ok tujivunie picha kama tunavyojivunia madini yetu katika picha tuu mkuu nimekuelewa..
 
Huu ni ujumbe kuwa waafrika ndio wahanga wa mabadiliko ya nchi, ukame, joto kuongezeka nk.
 
Neno UMEKITWANGA inaelekea litakuwa rasmi kwa watu wa KILAURI.Niombe serikali ipige marufuku kama vile BUNGE LIVE kulitumia neno hilo.Naona kama vile ni udhalilishaji wa serikali na kwa Mh.mbunge.
 
Back
Top Bottom