Shida moja ya kuroga ni vita isiyoisha nae ana ndugu watahangaika mpaka watakujua na wewe utarushiwa kombora mdomo uende upande .
MUngu hajibu maombi ya wadhilumatiYatakurudia yote...
Subiri afanye maombi uone...
Epuka kufanya Jambo ukiwa na hasira
Liwalo na liwe mkuu.Akijua atakumaliza kwani yeye ana uhakika wa pesa, kulogana ni kubaya sana tena sana.
Kuna mwanangu familia nzima ilipukutika sababu hii maana wali track wakajua kuwa ndug yao karogwa na jirani basi ilikuwa balaa kila week ana dondoka mtu mpka wakaisha oteKwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!
Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala sijutiii. Maana huyu jamaaa alinikera Sana.
Ugomvi wetu ulikuwa hivi, Mimi Baada ya kupigika Sana na maisha niliamua kujikita kwenye bodaboda Kama kazi yangu rasmi. Kwakuwa elimu yangu Ni kubwa na darasani wakati nasoma nilikuwa kipanga uamuzi huu umenifanya ninyoshewe vidole Sana. Wengi hasa wale niliosoma nao ambao wamenizidi kipato wamekuwa wananikebehi Sana. Nimekuwa nikiumia moyoni lakini Sina jinsi zaidi ya kupuuzia.
Sasa tarehe 24 mwezi wa 12,nikiwa kwenye heka heka zangu na boda boda,kuna gari ilinisukuma nikaanguka pembeni ya barabara. Nikiwa chini nimeumia na boda boda baadhi ya vitu vimevunjika mwenye ile gari alishuka na kuanza kunitukana.
Kilichonikera huyu jamaaa nimesoma nae, na form two ni Mimi ndie niliyemsaidia akafaulu, maana tulimkuta karudia darasa.Huyu jamaa Ni mwanajeshi lakini toka aingie jeshi amekuwa na tabia za unyanyasaji Sana. Mtaani anaskendo kibao za kupiga watu.
Basi bana bila ya kujali Mimi Ni classmate wake, pia bila kujali kuwa ni yeye ndie aliyenisukuma na gari yake alinishushia matusi ya nguoni na kunipiga vibao . Nilijitutumua nirudishie lakini boda boda wenzangu walinisihi nimwache. Waliniambia nikijibu mapigo ataenda kuota askari wenzake na watakuja kupiga kijiwe kizima.
Kwa Hali hio sikuwa na chakufanya. Nilivumilia matusi yote na kipigo juu. Alipoondoka nami kinyonge nilirudi nyumbani. Kwa Siku tano nilikaa ndani pasipokutoka nje, kila nilipofikiria lililotokea nilikosa nguvu. Kiukweli Niliumia Sana.
Nikiwa kwenye Hali hio jamaa yangu mmoja alifika na kunipa wazo la kulipa kisasi. Alinitaka twende kwa mganga, mwanzo nilikataa lakini Baada ya kufikiria Sana niliamua kwenda. Nilimweleza mganga Nia yangu ya kulipa kisasi akaniambia nimpelekee picha ya jamaa, mawe ya makobo na mavi ya mbuzi.
Chap ndani ya Siku mbili nilivipata hivyo vitu nikapeleka.Mganga aliniuliza nataka kisasi Cha aina gani nikamwambia chochote atakachokiona yeye kinafaaa.Aliniitaka niondoke na kuniahidi ndani ya wiki kadhaa nitapata majibu.
Leo nipo kijiweni nimepewa taarifa jamaa anawiki Moja mkono wake kulia ambao aliutumia kunipiga haufanyi kazi. Taarifa hiii imekuwa njema Sana kwangu. Kesho nimeoaga kwenda kwa mganga kumuongezea hela ila ahakikishe mkono ule usifanye kazi milele.
Sijutiii
Uchawi upo, ushirikina upo, watu wanaweza kupunguza siku za maisha yako au kukupa dhiki ya ajabu. Huwa nakuwa mwoga sana kwa watu wa namna hii.Ukute hata huo mkono kuuma haihusiani na wewe kumroga. Pengine hata usingeenda kwa mganga huo mkono ungemsumbua tu ila kwa sababu umesharoga unahisi ni majibu.
Ni kweli uchawi upo. Ila wakati mwingine unaweza kuhisi mtu amepatwa jambo kama majibu ya kombora ulilorusha kumbe ni coincidence tu unampa mganga credit.Uchawi upo, ushirikina upo, watu wanaweza kupunguza siku za maisha yako au kukupa dhiki ya ajabu. Huwa nakuwa mwoga sana kwa watu wa namna hii.
Basi ionyeshe na sura yako tuijue sura ya kichawi🤣Kwa Mara ya Kwanza nimeroga mtu!
Sikuwahi kufikiria Kama kunasiku nitakuja kufanya uchawi, ila wiki ya Kwanza ndani ya mwaka mpya nimefanya. Nimemroga mtu na amerogeka. Na katika Hilo Wala sijutiii. Maana huyu jamaaa alinikera Sana.
Ugomvi wetu ulikuwa hivi, Mimi Baada ya kupigika Sana na maisha niliamua kujikita kwenye bodaboda Kama kazi yangu rasmi. Kwakuwa elimu yangu Ni kubwa na darasani wakati nasoma nilikuwa kipanga uamuzi huu umenifanya ninyoshewe vidole Sana. Wengi hasa wale niliosoma nao ambao wamenizidi kipato wamekuwa wananikebehi Sana. Nimekuwa nikiumia moyoni lakini Sina jinsi zaidi ya kupuuzia.
Sasa tarehe 24 mwezi wa 12,nikiwa kwenye heka heka zangu na boda boda,kuna gari ilinisukuma nikaanguka pembeni ya barabara. Nikiwa chini nimeumia na boda boda baadhi ya vitu vimevunjika mwenye ile gari alishuka na kuanza kunitukana.
Kilichonikera huyu jamaaa nimesoma nae, na form two ni Mimi ndie niliyemsaidia akafaulu, maana tulimkuta karudia darasa.Huyu jamaa Ni mwanajeshi lakini toka aingie jeshi amekuwa na tabia za unyanyasaji Sana. Mtaani anaskendo kibao za kupiga watu.
Basi bana bila ya kujali Mimi Ni classmate wake, pia bila kujali kuwa ni yeye ndie aliyenisukuma na gari yake alinishushia matusi ya nguoni na kunipiga vibao . Nilijitutumua nirudishie lakini boda boda wenzangu walinisihi nimwache. Waliniambia nikijibu mapigo ataenda kuota askari wenzake na watakuja kupiga kijiwe kizima.
Kwa Hali hio sikuwa na chakufanya. Nilivumilia matusi yote na kipigo juu. Alipoondoka nami kinyonge nilirudi nyumbani. Kwa Siku tano nilikaa ndani pasipokutoka nje, kila nilipofikiria lililotokea nilikosa nguvu. Kiukweli Niliumia Sana.
Nikiwa kwenye Hali hio jamaa yangu mmoja alifika na kunipa wazo la kulipa kisasi. Alinitaka twende kwa mganga, mwanzo nilikataa lakini Baada ya kufikiria Sana niliamua kwenda. Nilimweleza mganga Nia yangu ya kulipa kisasi akaniambia nimpelekee picha ya jamaa, mawe ya makobo na mavi ya mbuzi.
Chap ndani ya Siku mbili nilivipata hivyo vitu nikapeleka.Mganga aliniuliza nataka kisasi Cha aina gani nikamwambia chochote atakachokiona yeye kinafaaa.Aliniitaka niondoke na kuniahidi ndani ya wiki kadhaa nitapata majibu.
Leo nipo kijiweni nimepewa taarifa jamaa anawiki Moja mkono wake kulia ambao aliutumia kunipiga haufanyi kazi. Taarifa hiii imekuwa njema Sana kwangu. Kesho nimeoaga kwenda kwa mganga kumuongezea hela ila ahakikishe mkono ule usifanye kazi milele.
Sijutiii
Pumbavu. Walokole mna akili mbovu. Eti aombe. Mtu ananyanyasa mtaani na kutukana ovyo aombe nini, mavi au...Yatakurudia yote...
Subiri afanye maombi uone...
Epuka kufanya Jambo ukiwa na hasira