Kwa mara ya kwanza nimefika Dodoma. Hayati Magufuli ni mbeba maono

Nchi zinazojitambua unazosema ni zipi? Uturuki ilijenga makao makuu Ankara ikahamia, Afrika ya Kusini ilijenga Pretoria ikahamia. Canada ilijenga Ottawa ikahamia, Nigeria ilijenga Abuja ikahamia, Brazil ilijenga Brasilia ikahamia, Uchina waliijenga Peking. Fanya utafiti kdg ndo uje na blah blah
waooh! Nice jibu lako limenikosha sana. Kuna watu mpk leo kazi yao ni kukosoa tuh hata ufanye jema gani bado wataponda tuh
 
Wenzetu wanarusha vyombo mwezini, magari ya umeme,AI na marais wao wanaonekana bado hawatoshi ...

Huku kujenga stend za mabasi na kuhamisha makao makuu ya nchi kiongozi anaonekana mbeba maono

Trump alikuwa sahihi.

No offense wenzetu hiyo stage walishavuka.
So hatuwezi kuwa sawa nao, sis ndio tuko ktk stage ya kuimarisha miundo mbinu ndio maana inaonekana hivyo
 
Nilipoiangalia Dodoma mji haujajengeka sana kama inavyosemwa. Lakini ukiangalia vitu alivyofanya Hayati Magufuli ndani ya kipindi cha miaka 5 wanadodoma hawatamsahau kamwe. Hivi vitu vitatu tu vya mfano:

1. Stendi-Nanenane
2. Ikulu Chamwino na taa zake
3. Mji wa serikali-Mtumba
Huu mji bila Magufuli ungekuwa vijumba na vipori tu.

Pamoja na mapungufu take ila Magufuli angetufikisha mbali kwa mtazamo wañgu.

ILA DODOMA KUNA VUMBI KILO MIA MOJA.
 
Attachments

  • 7173943D-A837-4D45-A732-9A8451169FDB.jpeg
    7173943D-A837-4D45-A732-9A8451169FDB.jpeg
    31.4 KB · Views: 2
Uamuzi wa kujenga Makao makuu Dodoma ni moja ya uamuzi wa kipuuzi sana ingekuwa ni nchi zinazo jitambua hili lingetosha kuadhibu Serikali, Bahati sisi raiahatujitambui kabisa.

Yaani hakuna Raia anaye sikitikia gharama kubwa za kujenga Offisi Dodoma bali tunashangilia wote. Sisi wajinga sana.

Gharama zilizo tumika kijenga makao makuu Dodoma ni pesa nyingi sana ambazo zingeingizwa kwenye Kilimo, au Mikopo kwa vijana au kuboresha mazingira ya kufundishia kw shule zetu impact yake ingekuwa kubwa sana.

Fikiria gharama kubwa za kujenga Offisi Dodona na kuna baadhi ya Taasisi awamu ya 4 ndio zilikuwa zimetoka kumaliza kujenga majengo yao Dar es salaam, fikiria jengo la BOT linapaswa pia kujengwa Dodoma.Fikiria Taasisi ambazo hata awamu ya Tano ndio zilitoka kukamilisha kejenga offisi zao Dar sasa zitapaswa tena kujenga Dodoma na still tunashangilia?

Kama hii haitoshi viongozi wako Dara muda mwingi sana kuliko Dodoma, V8 zinachomeshwa mafuta Dodoma to Dar na Dar to Dodoma no one Care?

Na mbaya zaidi raia tunashangilia ujinga huu wa kutisha? yaani Raisi anatamka kujenga majengo mengine zaidi Ikulu Dodoma sisi wajinga tunashangilia? Wakati huohuo Shule tu za mzingi hata Mijini Madarasa ni kama mabanda ya Mbuzi?

Hata kama sisi tunasomesha watoto sujui Englisha medium lakini, mazingira ya shule za Serikali hayafai kabisa na cha kushangaza raia tuna kunua tu meno.

Raia tuna uzezeta some time siwalaumu sana watawala ila nawalaumu raia tusio jitambua na sisi ndio tunawapa power sana hawa watawal kufanya maamuzi ya kipuuzi.

Jana Mama alipaswa kusema kwa sababu kujenga Ikulu ni gharama sana hebu tupumzike kwanza tufanye mambo mengine ya msingi na hayo majengo mengine yatajengwa mbele ya safari huko. Ila anatamka tu wakati km 50 au 70 kutoka hapo Ikulu kuna raia wana umasikini wa kutisha. Na anatamka raia tunashangilia hadi gego la mwisho.

Kuhamia Dodoma lilikuwa wazo la Nyerere hakujua kwamba kungekuja kuwa na maendeleo ya kutisha ya Techinolojia.

Huduma zinapaswa kuwa online ukitoa huduma chache sana ambazo ubapaswa kuwepo, Mikutano inafanywa online.

Nchi kama Kenya imepanga hadi mwisho wa mwaka huu Huduma zote ziwe online na wameisha anza kwa usajiri wa vyeti vya kuzaliwa na vifo na Ndoa vinapatikana online, niliona hata unaweza clera miziho yako Bandari ua Mombasa wewe ukiwa Nairobi una clear online.

Tanzania bado tunaabudu kufuatana offisini, na raia tunapenda sana hii ya kufuata huduma offisini wakati wenzetu wanahama kutoka huko
Afisa hebu punguza ukal.ila si ulilamba ya uhamisho wewe,mbona hukuikataa. Kama mabata yapo tu na kule kuna bambalaga,kuna shoppers kila kitu cha dar unapata. Na pia kuku wa dom fresh sana. Kuhusu bahari hilo lipo kwenye mipango ya kujenga swimming sport centre kubwa na ya kisasa ili kusudi ikamilike starehe ya kuwa pwani
 
Uamuzi wa kujenga Makao makuu Dodoma ni moja ya uamuzi wa kipuuzi sana ingekuwa ni nchi zinazo jitambua hili lingetosha kuadhibu Serikali, Bahati sisi raiahatujitambui kabisa.

Yaani hakuna Raia anaye sikitikia gharama kubwa za kujenga Offisi Dodoma bali tunashangilia wote. Sisi wajinga sana.

Gharama zilizo tumika kijenga makao makuu Dodoma ni pesa nyingi sana ambazo zingeingizwa kwenye Kilimo, au Mikopo kwa vijana au kuboresha mazingira ya kufundishia kw shule zetu impact yake ingekuwa kubwa sana.

Fikiria gharama kubwa za kujenga Offisi Dodona na kuna baadhi ya Taasisi awamu ya 4 ndio zilikuwa zimetoka kumaliza kujenga majengo yao Dar es salaam, fikiria jengo la BOT linapaswa pia kujengwa Dodoma.Fikiria Taasisi ambazo hata awamu ya Tano ndio zilitoka kukamilisha kejenga offisi zao Dar sasa zitapaswa tena kujenga Dodoma na still tunashangilia?

Kama hii haitoshi viongozi wako Dara muda mwingi sana kuliko Dodoma, V8 zinachomeshwa mafuta Dodoma to Dar na Dar to Dodoma no one Care?

Na mbaya zaidi raia tunashangilia ujinga huu wa kutisha? yaani Raisi anatamka kujenga majengo mengine zaidi Ikulu Dodoma sisi wajinga tunashangilia? Wakati huohuo Shule tu za mzingi hata Mijini Madarasa ni kama mabanda ya Mbuzi?

Hata kama sisi tunasomesha watoto sujui Englisha medium lakini, mazingira ya shule za Serikali hayafai kabisa na cha kushangaza raia tuna kunua tu meno.

Raia tuna uzezeta some time siwalaumu sana watawala ila nawalaumu raia tusio jitambua na sisi ndio tunawapa power sana hawa watawal kufanya maamuzi ya kipuuzi.

Jana Mama alipaswa kusema kwa sababu kujenga Ikulu ni gharama sana hebu tupumzike kwanza tufanye mambo mengine ya msingi na hayo majengo mengine yatajengwa mbele ya safari huko. Ila anatamka tu wakati km 50 au 70 kutoka hapo Ikulu kuna raia wana umasikini wa kutisha. Na anatamka raia tunashangilia hadi gego la mwisho.

Kuhamia Dodoma lilikuwa wazo la Nyerere hakujua kwamba kungekuja kuwa na maendeleo ya kutisha ya Techinolojia.

Huduma zinapaswa kuwa online ukitoa huduma chache sana ambazo ubapaswa kuwepo, Mikutano inafanywa online.

Nchi kama Kenya imepanga hadi mwisho wa mwaka huu Huduma zote ziwe online na wameisha anza kwa usajiri wa vyeti vya kuzaliwa na vifo na Ndoa vinapatikana online, niliona hata unaweza clera miziho yako Bandari ua Mombasa wewe ukiwa Nairobi una clear online.

Tanzania bado tunaabudu kufuatana offisini, na raia tunapenda sana hii ya kufuata huduma offisini wakati wenzetu wanahama kutoka huko
Wewe ni sadistic being, pole sana
 
Ni upotevu wa pesa nyingi kuliko kawaida,Kiongozi anapanda ndege Dar to Dodoma,V8 inakula wese na dereva Dar Dom na kurudi.

Shida hatuna dira ya maendeleo kama taifa nini kianze kipi kifuate
 
Mkuu gharama ni jambo la utashi zaidi kulidhibiti. Kipindi cha Magufuli mbona walikuwa hazuruli hovyo, ukambuka Jafo na vibanda vyake vya mabati .

Kwangu yanaendelea kubaki ni maamuzi sahihi zaidi na ya mfano kwa viongozi kuzingatia dira zinazowekwa kama taifa.

Hizo taasisi unazozisema ni kwa nini ziliamua kujenga Dar wakati zikijua kabisa mpango wa serikali ni nini? Huu ulikuwa ni upuuzi ulipitiliza.

Kuboresha mifumo ya kiteknolojia ni jambo jema ambalo bado halizuii kutokuwepo kwa majengo ya serikali.

Magufuli ametukumbusha kuzingatia dira na uelekea unaowekwa na taifa.
 
Uamuzi wa kujenga Makao makuu Dodoma ni moja ya uamuzi wa kipuuzi sana ingekuwa ni nchi zinazo jitambua hili lingetosha kuadhibu Serikali, Bahati sisi raiahatujitambui kabisa.

Yaani hakuna Raia anaye sikitikia gharama kubwa za kujenga Offisi Dodoma bali tunashangilia wote. Sisi wajinga sana.

Gharama zilizo tumika kijenga makao makuu Dodoma ni pesa nyingi sana ambazo zingeingizwa kwenye Kilimo, au Mikopo kwa vijana au kuboresha mazingira ya kufundishia kw shule zetu impact yake ingekuwa kubwa sana.

Fikiria gharama kubwa za kujenga Offisi Dodona na kuna baadhi ya Taasisi awamu ya 4 ndio zilikuwa zimetoka kumaliza kujenga majengo yao Dar es salaam, fikiria jengo la BOT linapaswa pia kujengwa Dodoma.Fikiria Taasisi ambazo hata awamu ya Tano ndio zilitoka kukamilisha kejenga offisi zao Dar sasa zitapaswa tena kujenga Dodoma na still tunashangilia?

Kama hii haitoshi viongozi wako Dara muda mwingi sana kuliko Dodoma, V8 zinachomeshwa mafuta Dodoma to Dar na Dar to Dodoma no one Care?

Na mbaya zaidi raia tunashangilia ujinga huu wa kutisha? yaani Raisi anatamka kujenga majengo mengine zaidi Ikulu Dodoma sisi wajinga tunashangilia? Wakati huohuo Shule tu za mzingi hata Mijini Madarasa ni kama mabanda ya Mbuzi?

Hata kama sisi tunasomesha watoto sujui Englisha medium lakini, mazingira ya shule za Serikali hayafai kabisa na cha kushangaza raia tuna kunua tu meno.

Raia tuna uzezeta some time siwalaumu sana watawala ila nawalaumu raia tusio jitambua na sisi ndio tunawapa power sana hawa watawal kufanya maamuzi ya kipuuzi.

Jana Mama alipaswa kusema kwa sababu kujenga Ikulu ni gharama sana hebu tupumzike kwanza tufanye mambo mengine ya msingi na hayo majengo mengine yatajengwa mbele ya safari huko. Ila anatamka tu wakati km 50 au 70 kutoka hapo Ikulu kuna raia wana umasikini wa kutisha. Na anatamka raia tunashangilia hadi gego la mwisho.

Kuhamia Dodoma lilikuwa wazo la Nyerere hakujua kwamba kungekuja kuwa na maendeleo ya kutisha ya Techinolojia.

Huduma zinapaswa kuwa online ukitoa huduma chache sana ambazo ubapaswa kuwepo, Mikutano inafanywa online.

Nchi kama Kenya imepanga hadi mwisho wa mwaka huu Huduma zote ziwe online na wameisha anza kwa usajiri wa vyeti vya kuzaliwa na vifo na Ndoa vinapatikana online, niliona hata unaweza clera miziho yako Bandari ua Mombasa wewe ukiwa Nairobi una clear online.

Tanzania bado tunaabudu kufuatana offisini, na raia tunapenda sana hii ya kufuata huduma offisini wakati wenzetu wanahama kutoka huko
Hadi leo hii karibu 70% ya shughuli zote za kiutawala zinafanyika Dar es Salaam. Dhalim alikurupuka sana
 
Wivu tu na utakuua
 
Nilipoiangalia Dodoma mji haujajengeka sana kama inavyosemwa. Lakini ukiangalia vitu alivyofanya Hayati Magufuli ndani ya kipindi cha miaka 5 wanadodoma hawatamsahau kamwe. Hivi vitu vitatu tu vya mfano:

1. Stendi-Nanenane
2. Ikulu Chamwino na taa zake
3. Mji wa serikali-Mtumba
Huu mji bila Magufuli ungekuwa vijumba na vipori tu.

Pamoja na mapungufu take ila Magufuli angetufikisha mbali kwa mtazamo wañgu.

ILA DODOMA KUNA VUMBI KILO MIA MOJA.
Umecheki na huduma muhimu sana za jamii kama maji na hospital/huduma za afya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom