Kwa mara ya kwanza leo nimesutwa umbea

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,288
Poleni na shughuli. Jaman mwenzenu sijawahi kuwa mbea ila leo yamenikuta kumbe ndio mambo yanakuwaga hivi....?

Kuna Mteja alileta kazi hapa officin kwangu kwa kuwa nilikua busy na kazi nyingine na yeye alikua na haraka na kazi yake nika mwambia aje nayo kesho .

Kesho yake hakuja nayo hadi kama wiki hivi ikapita ndio akarudi na lawama kibao kua samahani nilipeleka kazi office nyingine na hiyo kazi huko ikawa imeharibiwa na wameingia kwenye mzozo na mwenye hiyo office na kudai kuwa anampeleka police kwa kumuharibia kazi yake akaongea pale akamaliza akaondoka. Kumbe Yale maneno ya kupelekana police alikua ameniambia Mimi tu.hahahaaha

Na huyo ndugu mwenye hiyo office tupo Jirani wala hata simfahamu na msikiaga tu basi bwana kuna watu wakawa wamekuja officin kwangu katika story za hapa na pale nikawa nimegusia kuwa waache utani wasije nipeleka police kama Jirani yangu tukacheka yakaisha.

Kesho yake jioni sasa nashangaa yule Mteja anakuja ananilaumu kwa nini nimemuambia jamaa kuwa anataka kumpeleka police . Aisee nilitoa macho kidogo yadondoke huku najiuliza nani tena kapeleka ....? Nikamuuliza vipi mzee kwani ulituambia wangapi .......? Akajibu aliniambia Mimi mwenyewe tu. Hahahahaa ....akanilaumu sana daaa nimejisikia vibaya sana .

Jamani maneno yanatembea tuwe makini na vinywa vyetu. Yaani mwanaume mzima na gololi zangu nimekua mdogo hadi dushe lilizama ndani kama kichwa cha Kobe. Kusutwa noma wazeee..haaaahahahah

Tunaweza endelea kushea visa vingine
 
😂 😂 😂
Na ukome, next time watakujia na matarumbeta na vijora, ila I swear wanaume mmetuzidi umbeya sikuhizi..!!
 
nilikuwa najifagilia kwa masela kwamba dem flan nishamkula sababu walikuwa wananiona nae!

kumbe nilikuwa najipendekeza tuu kwa yule demu sababu alikuwa bomba mbaya kabisa.ilinibidi niwe napiga nae stori tuu sababu alishanikataa!

nikawa najitapa kwa masela jinsi nilivyokuwa namkunja!

katika wale masela kumbe kuna mmoja na yeye anatafuta gia ya kwendea kwa demu...

akatumia gia hiyo kwa kumuuliza demu eti yule fala anajisifu amekukula...

siku hiyo nimekaa dukani kwa mangi nakunywa kipotabo mara demu huyooo!!
nilivyomuona nikatabasamuuu na kumkaribisha soda...

acheni wana JF siku hiyo yule dada alininyea hadi koka ikawa chungu..

nyingine ilikuwa ni demu wa msela wangu.
msela alikuja kunitambulisha huyo pisi yake mpya..
yule dem mi namjua ni kicheche..

baada ya muda nikamchana msela kwamba yule manzi awe nae makini ni kichche.

msela alivyo mmbea si akaenda kumwambia demu aseee!

yule demu asubuhi subuhi hata hajapiga mswaki akaniibukia ofisi aseee!!
swali la kwanza mbele za watu aliniuliza..

ulishawahi lini kuniiitombaa!
unasema mi malaya ushawahi kunityombaaa!

alinichamba pale mi kimyaa..
siku hiyo kwa aibu niliomba ruhusa kazini nikapumzike tuu..

HADI LEO UMBEA NOOOOO..
 
Na bado haujakoma umekuja tena kuandika huku, ngoja apite asome....
Kesho unafatwa na kikundi cha watu wenye vijora wakiwa na keki mkononi kuja kukusuta.
 
Back
Top Bottom