Vatican makao makuu ya kanisa katoliki duniani yapokea hija takatifu ya kwanza rasmi ya watu wanaoingiliana kinyume na maumbile.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kanisa Katoliki, hija ya watu wa LGBTQ imejumuishwa rasmi katika ratiba ya Mwaka wa Jubilei wa Kanisa. Takriban watu 1,400 kutoka nchi 20 walishiriki, wakiongozwa na mashirika kama La Tenda di Gionata, wakifanya ibada na maandamano hadi Basilika ya Mtakatifu Petro. Tukio hili linaonekana kama ishara ya kukubalika zaidi ndani ya Kanisa,
Maaskofu waliruhusu na kuwapa baraka zote watu hao kuingia kanisani wakiwa na misalaba yenye rangi za upinde huku wajikitangaza wao ni lgbt.
Mijadala imezuka kuhusu kwanini Kanisa Katoliki linakemea wadhambi wengine lakini limekuwa likiunga mkono na kutolaani wadhambi wa kuingiliana kinyume na maumbile kwa kisingizio cha kutoonyesha ubaguzi. Hali hii inaonekana wazi kwamba lengo ni kuhalalisha dhambi hii na kuifanya ionekane kuwa jambo la kawaida, jambo ambalo litachochea wadhambi hawa kuanza kueneza dhambi hii ndani ya makanisa hasa kwa waumini vijana wadogo.
Wameingia kanisani wakiwa na imani kuwa wanachofanya sio dhambi, hawapo tayari kutubu wala kuwa na nia ya kuacha. Viongozi wa kanisa wameonyesha kuwaunga mkono kwa kutokukemea wala luwaasa wanachofanya ni dhambi wanayopaswa kuachana nayo kama ilivyo kwa wadhambi wengine. ushindi huu sio wenye lengo la kuwa sehemu ya kanisa ili kujitoa katika dhambi hiyo, bali ni ushindi wa harakati za muda mrefu za kushinikiza kanisa kuwatambua na kuwakubali wawe sehemu ya waumini huku wakipewa uhuru na sapoti ya kuendelea kuingiliana kinyume na maumbile
==============================================
The Vatican has included an event organised by LGBT Catholics on its official online calendar for the upcoming 2025 Roman Catholic Holy Year, in an unusual sign of openness by the global Church toward the gay community.
A pilgrimage by the Italian group "La Tenda di Gionata" (Jonathan's Tent), set for next September, is listed among the hundreds of events planned for the Jubilee, which is expected to bring some 32 million tourists to Rome next year.
The group, which describes its goal as to promote the welcoming of LGBT people within the Church, is expected to host a prayer vigil at a local Rome parish before making a trip to St. Peter's Basilica.
A Vatican official told Reuters the inclusion of the group on the calendar did not imply support of its events.
"They are not sponsored activities," said Agnese Palmucci, a spokesperson for the Vatican's evangelization office, which is organising the Jubilee.
Rome is the global centre of the Catholic Holy Year, which opens on Dec. 24, Christmas Eve, and runs through Jan. 6, 2026. Jubilees like this normally occur once every 25 years.
Source: Reuters