Kwa mara nyingine ... mtu mweusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mara nyingine ... mtu mweusi

Discussion in 'Sports' started by Mnyamahodzo, Jun 1, 2010.

 1. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwa mara nyingine tena mtu mweusi anapowika katika michezo,huyu ni Chirs Ngimbi(wenyewe wanatamka "Chris nagimbi" mwenye asili ya Congo, kaibuka kwa kasi katika mchezo wa Kick boxing. Tuliwafahamu wakina Mohamed Ali, Pele, Tyson, Lenox lewis,Wiliam's daughters( Venus and...), Joseph Kaseba na Selasie etc.......list ni ndefu waweza kuimalizia mwenyewe.

  Huyu bwana mdogo anakasi kubwa katika kupigana. Pia ni mjuzi wa kutumia 'combination techniques' yaani kupiga ngumi, teke na 'kifuti' kwa upesi. Nimempenda sytle zake.

  Angalia hapa jinsi alivyo mchakaza mtu kwa TKO www.mixfight.nl/forum/showthread.php?98429-Mixfight-interview-Chris-Ngimbi-(Siam-Gym-Black-Label)
   
 2. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mikiki boxing yanini uchafu wa shetani huo? watu tulicheza mikarate na mishaurini kong fu hiyo hadi black belt, tulipokuja kufunguka akili tukaona kumbe ni upuuzi mtupu, na kunakuwa na roho chafu ya shetani pepo makata lile pepo la shetani la chinjachinja linakuingia afu unakuwa mtu mkatili kupindukia rohoni hata kama watu watakuona usoni mpole...ni kitu kibaya kilinisumbua sana hadi nilipokuja kuombewa sana na kumpokea Yesu mapepo hayo yakatoka, sasahivi sitaki kuona hata michezo ya ngumi wala karate yoyote....hii michezo ni ya shetani wala si sifa..
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Tueleze japo kwa ufupi mkiwa katika mazoezi yenu huwa kuna namna fulani ya ibada mnaifanya? ama kuna vitu fulani sharti uviabudu/
  ulikuwa huko ndani tujishe sisi ambao hatukuwa kucheza michezo hiyo, just kwa faida tu.
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Dogo Mzuri ila kidogo ana papara. Anataka kushinda haraka sana na wakati mwingine inamwangusha kwani anafikiria zaidi kupiga kuliko kujilinda. Akikutana na shape kama Remy Bonjasky, wapiganaji wanaojipenda, basi itakuwa matatizo makubwa sana. Anapigana kama Mmaroko Badr Hari. Ndiyo maana Badr Hari huwa ana matatizo sana akipigana na Remy. Pia kijana itabidi aanze kutumia madawa maana ka-mwili utafikiri kikuku kisicho na manyoya. Na Uholanzi ni nchi ya Vidonge na Unga kwa sanaa... Pia akumbuke kutumia urefu wake kwa kupiga Low Kick.

  Angalia anavyopigana na utaona anaiga sana ufundi wa Remy ila sema hajilindi na hajafahamu vizuri kuruka kama Remy. Ila naona shule ya Kiholanzi inakwenda vizuri sana. Akiendelea basi huko mbele anaweza kuwa tishio. Ale saaana misosi ya nguvu...  Siku Remmy na Badr Hary walikumbana.....hii ni baada ya Badr Hari kupigwa mwaka 2007 na hatimaye akaja tena kugundua ushindi unakwenda na akaamua kucheza faulo isiyo na kichwa wala miguu. Too bad.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...