punguza jazba mkuu.mbona hujayasema hayo siku ya soura _ulikaa kimya kama umebanwa na uharo?
mbona hujayasema hayo kabla ya mechi ya vita au beki uliziona siku hiyo na uwezo wa kocha umeujua siku hiyp.
watanzania lini tutaacha unafiki
mtani kumbuka tatizo la beki line hata Kocha wa Nkana aliwaambia pia hata juzi kocha msaidizi wa Vital kasema mnacheza pasi nyingi ambazo hazina madhara tatizo wabongo tukiambiw ukweli tunakuwa wakali ndiyo maana hatuwezikuendelea kikosi mpinzani wako ndo mwenye kujua mapungufu yako ila narudia Manara anawaaribia sana timu yenumbona hujayasema hayo siku ya soura _ulikaa kimya kama umebanwa na uharo?
mbona hujayasema hayo kabla ya mechi ya vita au beki uliziona siku hiyo na uwezo wa kocha umeujua siku hiyp.
watanzania lini tutaacha unafiki
mbona hujayasema hayo siku ya soura _ulikaa kimya kama umebanwa na uharo?
mbona hujayasema hayo kabla ya mechi ya vita au beki uliziona siku hiyo na uwezo wa kocha umeujua siku hiyp.
watanzania lini tutaacha unafiki
sijakataa ila mlitakiwa mseme haya tangu siku ya mechi ya soura sio mnasubiri kwazna tufungwe ndio mnaanza uchambuzimtani kumbuka tatizo la beki line hata Kocha wa Nkana aliwaambia pia hata juzi kocha msaidizi wa Vital kasema mnacheza pasi nyingi ambazo hazina madhara tatizo wabongo tukiambiw ukweli tunakuwa wakali ndiyo maana hatuwezikuendelea kikosi mpinzani wako ndo mwenye kujua mapungufu yako ila narudia Manara anawaaribia sana timu yenu
Nitaungana na wewe. 😎😎😎mwarabu akinipigia 7+ huyu nyau ntafurahi sana.
lako tu kimeo UCHI weeemwarabu akinipigia 7+ huyu nyau ntafurahi sana.
Mkuu hili povu shushia na Maji ya kandoro bariiiiidimbona hujayasema hayo siku ya soura _ulikaa kimya kama umebanwa na uharo?
mbona hujayasema hayo kabla ya mechi ya vita au beki uliziona siku hiyo na uwezo wa kocha umeujua siku hiyp.
watanzania lini tutaacha unafiki
Aliyasema hayo yote Shaffii Dauda, tena kabla ya Mechi hata ya Waarabu, mkamsema sana Mkamtishia mpaka kumdhuru.....Leo imekua mulemule!mbona hujayasema hayo siku ya soura _ulikaa kimya kama umebanwa na uharo?
mbona hujayasema hayo kabla ya mechi ya vita au beki uliziona siku hiyo na uwezo wa kocha umeujua siku hiyp.
watanzania lini tutaacha unafiki
sio kweli alisema kabla ya mechi ya warabu.mechi ilivyoisha akajificha kwa mamaakeAliyasema hayo yote Shaffii Dauda, tena kabla ya Mechi hata ya Waarabu, mkamsema sana Mkamtishia mpaka kumdhuru.....Leo imekua mulemule!
Wana wa yes we canNadhani unataka kutonesha vidonda vya wana Nguvu moja hapa.
Hahahaaaa. Hao hao.
Alisema Simba ni "anda dogi" 😎😎Aliyasema hayo yote Shaffii Dauda, tena kabla ya Mechi hata ya Waarabu, mkamsema sana Mkamtishia mpaka kumdhuru.....Leo imekua mulemule!
Alisema kabla ya Makundi kuanza kuwa Simba kwenye hilo Kundi ni Underdog.....tatizo lenu Manara anawadanganya!sio kweli alisema kabla ya mechi ya warabu.mechi ilivyoisha akajificha kwa mamaake