cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
- Thread starter
-
- #21
asante nitakufundisha kupika ndizi mzuzu na samaki
Kama hujaolewa niprivate message ili nije kutoa mahali kabisa.
ohoo kumbe weye wa kule magharibi mwa ziwa nyanza.....asante nitakufundisha kupika ndizi mzuzu na samaki
nmekupenda gafla bin vuu...!!. ntakupata wapi niweke ndani uwe unanipiki? nshapata sababu ya kukupenda.ngoja nikupm. Mia
Nina tatizo na wenye huo utaalam wako, kama uko single taarifa tafadhali ili nianze kupasha. Na ninaomba avatar yako isiakisi chochote katika hali yako halisi kwa sasa lol!wakiitwa wanaojua kukarangiza lazima na mie niende.Kwa mambo ya jikoni nimebarikiwa.
ukitaka vya kihindi utadhani nimezaliwa bombay,ukija vya kichina na Thailand achilia mbali vya mexico na vya kizungu.Sasa ukila ugali na dagaa nilizopika mie lazima ujingate vidole. Iam the kitchen queen.
View attachment 44843
View attachment 44845View attachment 44848View attachment 44849
View attachment 44844
kumbe kabla ya leo ulikua unanichukia.
Kila nikipika ugali unatoka na vipele..sijui kwanini nisaidieni jamani
kuna mhindi anatafuta mpishi