ndivyo mnavyodanganya watu sio wanajeshi wanalia sana kimoyo moyo nyie mafisad ongeeni tu jeshi itawapindua madarakani kama chadema mkiifanya kama N CCR Mageuzi na CUF. mnadhani mtatawala milele subirini
Mkuu hapo huwa hakuna tatizo hapo ni kudumisha au kuutangaza ulimwengu kwamba huu ni utamaduni wa mwafirika basi maana kila taifa lina vazi lake la kujivunia kwa ni sawa tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.