..kwa mama rahel muhando...tbc

Mkuu Triple G umemaliza.. Mleta hoja anavyoonekana ni wale wanaovaa suruali nusu, hawa jamaa hata kiganja cha mkono kikionekana wanasema uchi. Acha hizo tamaa zako bana...
 
Acha uzushi wewe! Desturi za watanzania unazoongelea ndo zipi? Kwani mababu/mabibi zetu wa kale walikuwa wanavaaje? Mboona mavazi yao yalikuwa ni ya kufunika sehemu za siri tu? Acha kuwa na mawazo ya ajabu ajabu. Mbona ma bushmen hawavai nguo na hawana tatizo?

Asante sana, ningekugongea Like, ila natumia simu!
 
Back
Top Bottom