Kwa mahitaji yako yote ya chakula cha mifugo

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,582
Tunaotesha chakula cha mifugo (kuku, nguruwe, mbuzi, ng'ombe) ndani ya siku 6/8.
Tunatoa maelekezo namna ya kuandaa chakula hicho.
Tunauza vifaa kwa ajili ya kuandaa chakula hicho.
Tunauza mbegu na virutubisho kwa ajili ya uoteshaji wa chakula hicho.
Tupo Igoma Mwanza, (nyuma ya St. Mary's school)
Okoa mifugo yako kwa kuwapatia chakula bora.
Soma tangazo hilo hapa chini ..
upload_2017-3-10_13-34-32.jpeg
 
Back
Top Bottom