zakaria kimosa
Member
- Jan 23, 2018
- 13
- 3
- Thread starter
- #21
Kwa sasa hapana japo app zimo
hawarusu uingize laki tano kwa mara moja, na unakatwa sh. mia saba kila unapoingiza hela kwa mpesa, nenda uweke bank napo ukipiga cm wakuwekee wanaweza kukuwekea kesho yake kwa ujumla max anakufa taratibu anaondoka sokoni kama nokia.Jamaa ovyo sana. Zamani walikuwa wakituma msg ya kukujulisha kamisheni yako wanaweka na kiwango, siku hizi kiwango hawaweki sijui hadi uulizie, yaani ni usanii mtupu. Ila kuongeza pesa uwe unatumia mpesa ndo rahisi na haina gharama na unaweka na inaingia hapo hapo.
Pole inagharama labda wawe wameitoa, mi yangu siku hizi siitumii nikuuzie?Jamaa ovyo sana. Zamani walikuwa wakituma msg ya kukujulisha kamisheni yako wanaweka na kiwango, siku hizi kiwango hawaweki sijui hadi uulizie, yaani ni usanii mtupu. Ila kuongeza pesa uwe unatumia mpesa ndo rahisi na haina gharama na unaweka na inaingia hapo hapo.