Kwa Mahitaji Ya Mahindi & Mpunga Na Mchele

A Boy From Kigoma

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
249
Reaction score
188
Je Unaitaji Mahindi Au Mchele Kutoka Morogoro ? Mahindi Safi Kabisa Kutoka Morogoro Mziha Na Kilindi Tanga Yanapatikana Kwa Bei Nafuuu , Vilevile Mchele Super Kutoka Mukindo , Dakawa , Turiani ( Morogoro) Kwa Bei Rafiki Na Yenye Kuvutia ..... Kumbuka Ukitaka usafiri Upoo Wa Haraka Sana.
Mawasiliano 0659 445750
 
Weka Tangazo Lako Vema Utapata Wateja
*Eleza Upo Wapi
*Kilogram Moja Tshs Ngapi
*Unatuma Popote Kwa Gharama Kiasi Gani
 
Mkuu kuvutia wanunuzi ungeweka hiyo bei nzuri ili wahamasike kukupigia simu...Kilo ya mchele super bei fulani,mahindi na hizo bidhaa zingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…