Kwa mahitaji ya Logo Classic ya Company/Biashara yako na business Cards za kuendana na hadhi yako pitia hapa

Kazi mzuri.

Umetaja bei mbili, Tsh 25,000/= na 40,000/= kutegemeana na aina ya material ulizotumia.

Naomba katika picha ulizotuma ungeziweka katika hayo makundi, i.e. 25,000/= & 40,000/=.

Ni mzuri, tutakupa kazi.
Kila la heri.

GFLF

Sawa mkuu nimekuelewa vizr naufanyia kz ushauri wako
 
A5 mbona kubwa sana...mimi nataka ndogo A2 isizidi zaidi ya hapo
mkuu unajua kweli vipimo vya makaratasi??? unapozungumzia A2 umezungumzia karatasi kubwa snaa ambapo ndani yake unapata A4 na A3 2 kama A5 unapata 8 katika karatasi namba kubwa ndo size ndogo kwahyo ukisikia A5 ni ndogo sanaa au A6 ni ndogo kabsaa au ukisikia A1 inamaan bonge la jamvi unauweza hata ukalala.

Nilikuwa tu najaribu kukupa mchanganuo ila naomba unichek hapa 0658 060 476 ili tufanye kz
 
Back
Top Bottom