Kwa mahitaji ya kuku Wa kienyeji

Kwa mahitaji ya kuku Wa kienyeji

larrymeela

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
69
Reaction score
32
Habari za Leo wadau
Kama kichwa cha habari kinavosomeka, ninao kuku Wa kienyeji ambao ninauza ,kuku ni wakubwa sana majogoo yanafika mpk 6kg na wapo Wa 5kg
Bei ni 20000Tsh kwa Wa 5kg na wakubwa zaidi wenye 6kg ni 25O00Tsh
Majike pia kwa anayehitaji pia yapo
Tuwasiliane PM kwa wenye uhitaji
20190620_123238.jpeg
20190620_123251.jpeg
 
Shukrani mkuu kwa maoni yako
Nitaongezea taarifa zaidi pia kama unaweza saidia pia details gani niongezee itakua vema zaidi
Business without business plan.

Ongeza nyamanyama kwenye taarifa yako.

Ongeza ubunifu.
 
Shukrani mkuu kwa maoni yako
Nitaongezea taarifa zaidi pia kama unaweza saidia pia details gani niongezee itakua vema zaidi
Wanapatikana wapi!! Ukihitaji Akiwa amesha andaliwa wanapatikana!! Ukiletewa bei ni tofauti!! Akishachijwa anakuwa kilo!! Kwa wa kilo!! Ndio Mambo anayotaka uyaweke ili abari ikamilike!
 
Mjombakim kuku wanapatikana Kimara; wanauzwa wakiwa hawajachimbwa ila kama mteja ukiwaona ukachagua ukitaka waandaliwe sio tatizo
Kuhusu uzito akishachinjwa naamini kiumbe chochote kikishachinjwa kinapungua sehemu flani ya uzito wake
Wanapatikana wapi!! Ukihitaji Akiwa amesha andaliwa wanapatikana!! Ukiletewa bei ni tofauti!! Akishachijwa anakuwa kilo!! Kwa wa kilo!! Ndio Mambo anayotaka uyaweke ili abari ikamilike!
 
Back
Top Bottom