Kwa mafanikio haya ya Yanga SC ni mwana Simba SC Mwendawazimu tu ndiyo atayabeza na kuyachukia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,115
110,505
Tena nadhani kwa mwana Simba SC kuliko kuwa na Usununu ( Chuki ) dhidi ya Yanga SC kufika Fainali ya CAFCC ni Bora tukazihamishia kwa Mwekezaji Wetu, Mwenyekiti wa Bodi, Mwenyekiti wa Wanachama, CEO Wetu, Benchi la Ufundi na Wachezaji wa Simba SC kwani Wao ndiyo Chanzo Kikuu cha Sisi leo Kuchekwa, Kudharauliwa, Kudhihakiwa na Kufeli kote huku.

Tutanuna mno Yanga SC ndiyo Bingwa Mpya wa Kombe la Shirikisho ( CAFCC ) kwa mwaka 2023.
 
Popoma.katika ubora wako 👍👍
 
Yanga Oyeee... Simba mwakani mjipange mnaweza fanya bora zaidi pia hata kufika mbali zaidi.. msife moyo wala msiwe wachawi wa roho
 
Kweli unapaswa kupongezwa.
 
USM ALGER DAMU
Simba kashafika fainal hilo kombe
BA NTWA BA ALGER
Simba alifika fainali third tier championship , Chifu mashood abiola aliamua Kugawa ela zake atangaze jina lakini bingwa wa Hilo kombe hakutambulika rasmi na caf Bali caf walimkubalia ili waingize Mpunga ( money ) . Bingwa aliyetambulika ni wa kombe la washindi ( second tier championship) ambalo yanga anashiriki na kombe la klabu Bingwa ( first tier championship)
Hivyo Mpaka sasa kwa Tanzania hakuna klabu imefikia mafanikio ya yanga
 
Asante sana kwa maoni yako
 
Mm cjaona mafanikio yeyote ni makelele tu mtaani mpira gani riadha tu za akina Moloko,Kisinda Mayele
 

Hivi uto wakifanikiwa kutwaa kikombe hicho wanapata kiasi gani cha fedha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…