Kwa madereva wote

Kwa madereva wote

Zogoo da khama

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
638
Reaction score
607
IMG-20170426-WA0001.jpeg

Kwa madereva wenzangu huku barabarani hawa wenzetu baada ya kuona mbinu zao za tumeanza kuzizoea wamebuni mbinu mpya nayo ni kupanda juu ya miti na kamera zao. Zingatieni sheria muwapo barabarani.
 
Tuanze kutembea na manati ukimukuta ww tungua tu kama ndege maana hakuna namna sasa
 
Hakuna namna, ni kufuata sheria tu uwapo barabarani
 
Sasa na kibao cha spidi kakishusha hawaoni kuwa ni uharibifu wa miundo mbinu ya barabara? Hizi njama mbaya sana
 
Khaaa too much sasa

Mara puuuh kaanguka kategua kiuno atamlaumu nano?????

Au akidungwa na nyoka huko juu atamlilia nani????

Dah
 
Huyu hata neno camouflage nadhani hajalisoma.
 
Ndio mbinu walizofundishwa na ccm kuitafutia hela ya chaguzi
zijazo,ngoja mmoja avunje mgongo na kupasua figo kwa kudondoka mtini,ndo watatia akili kua ccm inawatumia vibaya !
 
Kwa madereva wenye magari yasio kuwa ya abiria haimati sana kama unajua ku bargain vizuri japo bei kwa sasa imepanda sana sana wanataka mwekundu.
 
Back
Top Bottom