Kwa madereva wa malori

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,734
12,008
Wasalaam waungwana wazee kwa vijana na watoto wa masafa.
Je? katika Tanzania bara ni sehemu ipi/gani ukiwa unaendesha gari hupatwa na hali zifuatazo.

1. Mauzauza na moyo kwenda mbio
2. Kizunguzungu na gari kuwa nzito kama vile halitembei.
3. Mteremko au mlima wa kuogofya
4. Kusikia harufu ya K.
5. Kuhisi kama upo ndotoni
6. Kusinzia
7. kusikia njaa
8. Kuharibikiwa mara kwa mara
9. kuhisi kama kuna kitu kinawafuatilia
10. Kupata nyege

Suala hili si la utani ni kwamba shida hizi zinawakuta watu lakini wanakosa sehemu ya kusemea ili kupata ufumbuzi.

Moja ya eneo ni mbuga ya upareni kati ya MOmbo na Same kuna sehemu madereva hulalamika usingizi na barabara ni imenyooka sana.
 
kuna kipande cha kutoka ushirombo kuitafuta shamba la nyege nyakanazi kama unatembea mida ya usiku..ni balaa.
 
Wasalaam waungwana wazee kwa vijana na watoto wa masafa.
Je? katika Tanzania bara ni sehemu ipi/gani ukiwa unaendesha gari hupatwa na hali zifuatazo.

1. Mauzauza na moyo kwenda mbio
2. Kizunguzungu na gari kuwa nzito kama vile halitembei.
3. Mteremko au mlima wa kuogofya
4. Kusikia harufu ya K.
5. Kuhisi kama upo ndotoni
6. Kusinzia
7. kusikia njaa
8. Kuharibikiwa mara kwa mara
9. kuhisi kama kuna kitu kinawafuatilia
10. Kupata nyege

Suala hili si la utani ni kwamba shida hizi zinawakuta watu lakini wanakosa sehemu ya kusemea ili kupata ufumbuzi.

Moja ya eneo ni mbuga ya upareni kati ya MOmbo na Same kuna sehemu madereva hulalamika usingizi na barabara ni imenyooka sana.

Hii kali
 
Harufu ya k ukitaka maeneo ya katerelo
 
Back
Top Bottom