Kwa Madaktari...

NNJ7

Senior Member
Mar 7, 2016
114
59
Samahani sana wadau na madaktari.Naomba msaada wa haya mawazo yazungukayo vichwani mwa watu.

Je? Shahawa ndani ya kondomu wakati wa kujamiana ni watoto wale...?
Na Punyeto kwa wakaka na wadada pia ni watoto wale...?

Na vipi juu ya maneno ya kuua watoto formation yao (hizo shahawa) hufanyikia wapi?

Na vipi kuhisi ndoto nyevu Mungu anakuwa anauwa watoto au muhusika anakuwa katika mwendelezo wa kuja watoto?

Nisaidieni tafsiri hizo tafadhali...
 
Samahani sana wadau na Madaktari.
Naomba msaada wa haya mawazo yazungukayo vichwani mwa watu.

Je ? Shahawa ndani ya kondomu wakati wa kujamiana ni Watoto wale...?
Na Punyeto kwa wakaka na wadada pia ni watoto wale....?

Na vipi juu ya maneno ya kuua watoto formation yao (hizo shahawa) hufanyikia wapi?

Na vip kuhisi ndoto nyevu Mungu anakuwa anauwa watoto au muhusika anakuwa katika mwendelezo wa kuua watoto?

Nisaidieni tafsiri hizo tafadhali...
 
Shahawa si watoto hao ila ni tunaweza kuziita kwa lugha ya kitaalam ( Reproductive cell) ili aitwe mtoto lazima yai ya kike liungane na mbegu ya kiume alafu muunganiko huo ukue ndani ya uzazi wa mwanamke mpaka miezi 9 au wiki 38 au mpaka 40 atakapo jifungua kiumbe ambacho ndicho mtoto. Ila si kwamba shahawa ndio watoto shahawa ni sawa na na punje za mahndi au mtama uliotupwa tu.
 
Samahani sana wadau na madaktari.Naomba msaada wa haya mawazo yazungukayo vichwani mwa watu.

Je? Shahawa ndani ya kondomu wakati wa kujamiana ni watoto wale...?
Na Punyeto kwa wakaka na wadada pia ni watoto wale...?

Na vipi juu ya maneno ya kuua watoto formation yao (hizo shahawa) hufanyikia wapi?

Na vipi kuhisi ndoto nyevu Mungu anakuwa anauwa watoto au muhusika anakuwa katika mwendelezo wa kuja watoto?

Nisaidieni tafsiri hizo tafadhali...
Zinaitwa watoto kwakuwa ndio mwanzo wa uhai lakini lazima zifanye collaboration na zile za kike ndio formation ya mtoto ianze
Kuhusu ndoto nyevu ni sawa tu na mbegu unazopanda nyingine hazitastawi nyingine hazitaota zingine hazitamea nyingine hazitakomaaa nk nk mpaka inafikia hatua ya kuliwa nyingine pia hazitaliwa zitaishia kuungulia jikoni
Kumbuka kwenye mamilioni ya manii unayomwaga ni mbegu moja tu au mbili ndio hufanikiwa kuingia na kurutubishwa
 
Kwa hiyo ni uongo kusema ni watoto na sio dhambi kwa mantiki hiyo.

Na vipi abortion ya damu yaani ( mimba ya wiki 2 hadi 3 ) ni mtoto tayari?
 
Udaktari na dhambi wapi na wapi.Swali lako libase kwenye kitu kimoja,imani au science.Swala la dhambi waulize watumishi but ukiwauliza madaktari mambo ya kiimani mtaleta bla bla tu
 
Mungu alimwadhibu.
Duh. Ntaitafuta hio hadithi.
Huyo anaitwa onami, kwenye kitabu cha kutoka..

ila lazima ufahamu hakuumuua kwa alimwaga nje, alimuua kwa sababu alimwaga nje kwa hila ili asimpe ndugu yake uzao (aliyekua amekufa)
 
Onami.
Nitamtafuta

Samahani sana wadau na madaktari.Naomba msaada wa haya mawazo yazungukayo vichwani mwa watu.

Je? Shahawa ndani ya kondomu wakati wa kujamiana ni watoto wale...?
Na Punyeto kwa wakaka na wadada pia ni watoto wale...?

Na vipi juu ya maneno ya kuua watoto formation yao (hizo shahawa) hufanyikia wapi?

Na vipi kuhisi ndoto nyevu Mungu anakuwa anauwa watoto au muhusika anakuwa katika mwendelezo wa kuja watoto?

Nisaidieni tafsiri hizo tafadhali...
Mkuu inaonekana na wewe ni mwanachama wa chama cha CHAPUTA dizain unazungukaa kuuliza swali lako ungeuliza tu hivi "kupiga punyeto ni dhambi"
 
No. Mimi ni Mtu ambae siingiagi kwa Darasa . mara ninapotaka kujifunza nauliza maswali...

Amini hivi,
Mtenda kosa huwa ni ngumu kuuliza swali linalo muhusu...

Binafsi nimekuwa nikisikia kuwa
"Hao watoto mnao waweka kwenye #kondom siku ya mwisho mtajibu. "
Navingine vifananavyo na hivyo vingi.

Sasa shida sio hiyo kauli, Shida msemaji. "Mchungaji au Shehe"
So then nikataka kujua kama hizo shahawa huwa ni watoto kweli au ni kututisha...
Au ni kauli ya kutuweka karibu na Mungu....

We unalizungumziaje....!?
 
[QUOTE="NNJ7, post:

Na vipi kuhisi ndoto nyevu Mungu anakuwa anauwa watoto au muhusika anakuwa katika mwendelezo wa kuja watoto?

Nisaidieni tafsiri hizo tafadhali...[/QUOTE]

Nimecheka sana hapa daaa!!
 
Back
Top Bottom