eshijo
Member
- Jan 8, 2017
- 7
- 1
Nina Mtoto mwenye umri wa miaka 10 kasoro. Anaota Yale meno kiswahili tunaita magego but yamemfanya augue kabisa hata kula hataki akimeza chakula koo linamuuma. Nilimpeleka Hosp tukapewa dawa anatumia mpaka sasa but nafuu bado..ni kweli ni jino tu au kuna tatizo lingine?